Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Ona mkuu usiumize kichwa.


Kuna mtu alizaa akiwa namiaka 25 lkn baba mtu akamtelekeza nasasa anahangaika sana.

Mwingine akaja zaa anamiaka 32 ndani ya ndoa mpaka sasa wanaishi pamoja.

Maisha yetu kila mtu yupo ktk muda wake ila itategemea unataka nn !!

Kwasababu ya kujiona mmechelewa, mmejikuta mnazalishwa, mnakimbiwa, mnaanza tena kuwachukia wanaume.

Ila mama kama una kakazi kako, kakukumudusha kimaisha, Wee date tu. Ikitokea umeshiks mimba basi zaaa tu, yawezekana ndio njia yako ya kukufikisha kwa mwanaume ambaye ndio chaguo lako .
 
Wapo wengi sanaaaaaa
Wale mama zetu wanaokula ugali wa dona na kila aina ya mboga za majani.
Nakufanya kazi kutwa nzima na kutokwa jasho.


Lakini sio dada zetu wa chip, bia,
GB whatsApp na instagram.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona inawezekana hata kwa sasa hivi..hakuna cha ugal wa dona sijui nn.. A woman is a woman... Na kama hao mama zetu waliweza hata sasa hivi inawezekana na nimeona wengi
 
Ungea kwanza na bwana ako unless unaweza kulea mwenyewe.

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Wengi wamekaririshwa tu mbona kuzaa at 40 ni kawaida kabisa. Hizo complication mnazosema zipo hata kwa wale wanao zaa at 20+.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mda si mrefu tutaona ni kawaida sana kupata mtoto baada ya kufikisha miaka 30 ndio sahihi. ...
Tunasahau mahitaji muhimu ya mtoto na kuweka akili kwenye umri wa mama mtarajiwa...
 
Kuwa na mtoto mapema kuna faida kubwa sana,tatizo ninaloliona kwako ni hujapata baba wa mtoto mwenye dira.
 
Back
Top Bottom