Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ona mkuu usiumize kichwa.
Kuna mtu alizaa akiwa namiaka 25 lkn baba mtu akamtelekeza nasasa anahangaika sana.
Mwingine akaja zaa anamiaka 32 ndani ya ndoa mpaka sasa wanaishi pamoja.
Maisha yetu kila mtu yupo ktk muda wake ila itategemea unataka nn !!
Kwasababu ya kujiona mmechelewa, mmejikuta mnazalishwa, mnakimbiwa, mnaanza tena kuwachukia wanaume.
Ila mama kama una kakazi kako, kakukumudusha kimaisha, Wee date tu. Ikitokea umeshiks mimba basi zaaa tu, yawezekana ndio njia yako ya kukufikisha kwa mwanaume ambaye ndio chaguo lako .