Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 695
- 1,803
Na hapo kwenye lugha? Nitumie njia gani kumrekebisha asione kama namletea dharau na kujiona ni msomi kuliko yeye?Ni sahihi kabisa ila njia ya kukosolewa ndo iwe ya staha na kutambua Mamlaka niliyonayo ndani ya Nyumba
Hasa nikikosea kutoa maelezo ya kitu mbele ya familia na watoto yeye ayanyooshe ila kwa ujanja akisema Kuongezea hapo Baba yenu alipoishia ndo aendeleze ukweli wake
Britannica
Lakini ni sahihi kumwacha bila kumrekebisha?Kumkosoa mtu kwasabu kaongea Kingereza kibovu kwa bongo unaonekana umemdharau na kum-prove kua hana akili.
Wengi wanafanya kosa hilo wanakushusha vyeo unaonekana huna akili so Don't cover the book by its judge
Kausha, Biblia imeandika Mke amheshimu mme wake, na mme ampende mke wake,Na hapo kwenye lugha? Nitumie njia gani kumrekebisha asione kama namletea dharau na kujiona ni msomi kuliko yeye?
Asante, kwenye hiyo mifano miwili hapo kwenye mada ukielekezwa umekosea kwa staili gani ndio utaona haujadharauliwa?Nisahihi kumrekebisha lkn iwe ni kwa njia ambayo bado inalinda heshima kua anaongea na Mume wake.
Vingine vidogo vidogo ni vya kumezea tuu...
Vivo ivo kwa Mwanaume, hatakiwi kumkosoa mkewe kiasi cha kumfadhaisha.
Kwa mfano, Leo amekupikia chakula kibovu, usianze mambo za Ohooo chakula gan hiki sasa.. ?? Kula mwenyewe mivyakula yako?? Hiii chumvi uliweka umefumba macho???
Badala yake mwambie "Baby chakula cha jana ulipikaje, Unajua kimeshinda hiki cha leo?
Mkosoane lkn kwa hali ambayo inaendelea kulinda heshima na mipaka.
Sasa nimepata mbinu, ni bora kuacha na kumsikiliza tuu.Kausha, Biblia imeandika Mke amheshimu mme wake, na mme ampende mke wake,
Je wajua kwamba ukileta ujuaji ni kama wamkosea mmeo
Ndo maana mimi nikija kuingia kwenye mahusiano Vigezo na mashart kuzingatiwa,
1.Moja japo kuwa asilimia kubwa ya binadamu nawazidi uelewa na kujiongeza katika kujitaftia maarifa, siwezi oa mwananke anayeonekana kuna mambo atanizidi
2.Nahakikisha siingii kwenye mdahalo na mke wangu , yaan aulete kama mazungumzo ya kawaida lakini siyo wa kureffer mpaka kwenye dictionary au encyclopedia Britannica , sitaki hayo,
3.Hata kama mazingira naona yanasababisha tuingie kwenye hoja mbali mbali nisipojua nakubali kusikiliza, na napooona kakosea nasema baby ngoja ntarefer vela siko na uhakika na na hili, sina jibu sahihi sasa hivi, alafu naangalia baadae nondo za ukwel najiridhisha ndo namwelekeza,
4.kama mke wako ni expert wa jambo fulan usiingilie ujuzi wake, udume si lazima kuwa applicable kila sehem,
Mfano mimi muhasibu nioe mwanasheria, liwe linazungumzwas suala la kisheria na vifungu konki aelezee, mimi naingiaje hapo kwa mfano
Britannica
Lakini unakuta kakosea kabisa.Mwanaume hakosei sasa huyo mwanamke akosoe nini ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sasa akikosea kwa wengine si atachekwa?LAW 1 ya Bob Greene inahusika hapa.
Inaonesha jamaa ni master kwenye hayo mahusiano!
Mwanaume hakoseiLakini unakuta kakosea kabisa.