Ni sahihi mwanamke kumkosoa mume wake/boyfriend?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesema?? Haki nimecheka huo mfano wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa huo mstari, Baadhi ya Wanaume
👊🏽👊🏽👊🏽

 
Hilooo ni chagua lako, ooh ni chaguo lako

Umenikumbusha Marehem mwalimu wangu wa Kiswahili Mr Msaki.
Yeye alikuwa anasema binadamu ni vipande vipande, ili uwe kamili, lazima upate kipande chako.
Mama, icho kipande chako, kikamilishe tu.
 
Huyo boyfriend ndio yupo hivyo???? Akikuoa nakwambia katiba ya ndoa haitazingatiwa kabisa
Bado sio mume ni boyfriend.
lakini si unaona comments zinaaonesha sio wangu tuu mwenye kutokupenda kukosolewa.
 
Hamna kosa hapo, labda kama uwe umeonyesha dharau na dhihaka pindi unapo kosoa, hili nalo huwa tatizo.

Sisi wake zetu, siyo tu wanatukosoa bali wanatufundisha kabisa baadhi ya mambo, sababu hakuna anae jua kila kitu.

Ahsante.
 
kwa mke na mume au girl na boy friend hakunaga kukosoana huwa kuna ku elekezana au kumsaidia kusahihisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…