Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Hakuna aliye ndani ya muda. Hapo nimekuelewa vizuri tu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Aisee Mkuu huu ulipaswa uwe uzi kabisa
 
Kingi


King wewe unayo?
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Jizazi πŸ€¦β€β™‚οΈ
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shida ipo, atakapofisha miaka 60, mtoto wake mkubwa atakuwa na miaka 27, kijana wa miaka 27 kibongobongo atakuwa hana uwezo wa kumtunza babaye au mamaye

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umeona future ya mjomba wangu sio umetumia kigezo gani kujua kuwa hatoweza mtunza mama yake? Hujui chochote kumuhusu yy umefeli mzee maisha hatufanani 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…