Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Acha kukaa kihasara ni signature mamiiiSijakaa kihasara bana! Mbona nimekaa vizuri mimi jamani
Acha kukaa kihasara hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukaa kihasara ni signature mamiiiSijakaa kihasara bana! Mbona nimekaa vizuri mimi jamani
Sawa mkuuAcha kukaa kihasara ni signature mamiii
Acha kukaa kihasara hasara
bora umenyosha maelezoKulinga sana na kujiona ni wapekee wakati wa usichana wao,
Kujifanya wanachagua sana
CC Zero IQ
Last born wako;hongeraNi sahihi na muda wake haujafika..last born wangu kaolewa na 21 ..dada yangu kaolewa na 34..kwahiyo sidhani Kama Kuna tatizo hapo Ni muda tu ndiyo waongea.
Ahsante Sana.Last born wako;hongera
Mkuu acha kuwatishia wadada.Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
😀😀😀 Nishaipita hiyo nagonga 35 ivyoo..mwakani 36 😜
Lol u have made my day buddy[emoji23][emoji23]Ni balaa mkuu, ndo maana wanasemaga mwalimu wa mwanamke Ni KIPOFU
Kwa maana
MWANAUME AKIOA ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
4. Uvumilivu
MWANAMKE AKIOLEWA ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.
HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu
WANAUME KAZ TUNAYO.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeacha uongo nasema ukweli mtupu siku hizi[emoji41]
Aisee..28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
Umri wa kuoa/kuolewa ni pale mtu anapokuwa tayariMara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
Kuvuka mpaka gani?Mbona mnatutisha[emoji46]
maana wengine ikiingia 2021 tuna 28 tunakia tushavuka mpaka[emoji22]