ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kumbe hii mambo ina deadline?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nchi moja huko majuu mdada akiwa >25 wanamwita mzee (баба)(katika muktadha wa kuolewa).Huu utaratbu upo huku kwetu tu africa wenzetu wazungu mtu anaolewa hata akiwa 50yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi rafiki..Mambo rafiki
Jifariji tu huyo kashachoka hata akizaa itamletea usumbufu nenda kwenye google kasome acha mambo ya kubisha bisha nenda kwenye quora kajisomee utaelewe nini naandika hapa
Mtu akiwa na miaka 50 unakuwa amesha doda acha ushsmba na ubishi wa kijinga bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioi ng'o.Ukitaka kuona madhara ya kuchelewa kuingia kwenye ndoa,jicheleweshe,humu tunajifariji na kijidanganya
Wewe ndio umefichwa na piiiiem umenifungia, embu njoo kule nikuulize kitu.Safi rafiki..
Nani amekuficha etii jamanii
HallelujahSakayo nimekuahidi naleta mahari japo umri umekupa mkono Kumbuka uliambia una 40yr
Sijakaa kihasara bana! Mbona nimekaa vizuri mimi jamaniHalafu mnakuwa watulivu sana
Acha kukaa kihasara hasara
Nani wa kunificha mzee kama mimi jamani, bando na network!!Wewe ndio umefichwa na piiiiem umenifungia, embu njoo kule nikuulize kitu.
No, umeni vungia nje...embu nikaribishe rafiki.Nani wa kunificha mzee kama mimi jamani, bando na network!!
Hivi kumbe kumefungwa eeeh!!!
Mimi huyooo...No, umeni vungia nje...embu nikaribishe rafiki.
Usibiiiishe bana, rafikiMimi huyooo...
Vitisho tuKumbe hii mambo ina deadline?
Ukikua utaacha haya mawazo ya ki teenagerSioi ng'o.
Ntabaki kuwatafuna tu.labda nikizeeka.dk za majeruhi karibia mpila uishe ndo labda naweza tafuta bb kama faiza nimalizie nae dk za nyongeza kipindi cna pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani una mawazo kama yangu me mwenyewe nilishasema nikitaka kuoa Umri kuanzia 28 kwa sababu unakuta Mwanamke anajitambua vizuri zaidi, sio 22 au 25 hapo changamoto28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
Sawa rafikiUsibiiiishe bana, rafiki
Poa karibu sana.Sawa rafiki
Nakuja
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Poa karibu sana.