Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye umri huo mnakuwaga wamuta (tamuwa)Ndo niko na hiyo age kabisaa akii!!
Halafu unaniita aje dogo jamani
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
Dada yangu kaolewa ana miaka 32 hakuna shinda naitwa mjomba soon.
Umri sahihi wa kuoa mwanamke ni akiwa na miaka SITA. Utaanza kumuingilia akiwa na miaka Tisa.
Ur talking about 23 to 27. Are u serious?
Mambo ya kuuziwa gazeta jioni haya.
Sina vigezo.semeni vigezo kabisa
Dah! M@@m@£, heri niwe bachelaNi balaa mkuu, ndo maana wanasemaga mwalimu wa mwanamke Ni KIPOFU
Kwa maana
MWANAUME AKIOA ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
4. Uvumilivu
MWANAMKE AKIOLEWA ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.
HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu
WANAUME KAZ TUNAYO.
Sent using Jamii Forums mobile app
una uhakika hayapo?Sasa kama Diva Lovenes alikuwa anataka watoe maali ya milioni 100 na wakati malinda Hana. Nani ataoa mwanamke mpuuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna ni chemistry tu.mtu anaweza kuoa hata akiwa na 19 yrs na ndoa ikadumu fresh tu28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
Tatizo vijana wetu wanataka mteremko. Wale na kukimbia, hawataki majukumu, Leo hii najilaumu kwanini sikuoa nikiwa under twenty!!!Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
changamka muda sio rafiki hasa kwa mwanamke.wengi wanaotaka kuoa wanafocus zaidi kwa mabinti wa 18-25.tena 25 bado mtu anaona mwanamke mkubwa.si unajua tena watu wanapenda watoto fresh umri mdogo ( inasemekana wanakuwa hawajatumika sana)Mbona mnatutisha[emoji46]
maana wengine ikiingia 2021 tuna 28 tunakia tushavuka mpaka[emoji22]
Jifariji tu huyo kashachoka hata akizaa itamletea usumbufu nenda kwenye google kasome acha mambo ya kubisha bisha nenda kwenye quora kajisomee utaelewe nini naandika hapaHakuna formula ya umri wa kuoa wala kuolewa dunia imebadilika sana kama bado unaishi Stone Age utaumia sana. Niko na rafiki yangu kaolewa na miaka 50 na harusi tulicheza niko na mwingine alizaa last born wake akiwa na miaka 50 sasa hivi binti yake ana miaka 12 na mama anadunda vizuri na binti ni karembo sana.
Nilikuwa na rafiki yangu yeye aliolewa na kuzaa before 30 na akafa na 38. Nilichojifunza kwenye haya maisha bila kumjua Mungu utaishi kwa shida na wasi wasi sana.
Umri sahihi wa kuoa/kuolewa hakuna apangae ila watu wengi hufikiria kuoa/kuolewa na kupata watoto mapema ili waweze kuwalea wakiwa bado na nguvu! Sasa ukichelewa kuoa/kuolewa unaweza pata watoto ukiwa umeshajichokea! Raha ya watoto upate ukiwa ujanani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnatutisha[emoji46]
maana wengine ikiingia 2021 tuna 28 tunakia tushavuka mpaka[emoji22]
Aiseee
Mambo rafikiAiseee