Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Jifariji tu huyo kashachoka hata akizaa itamletea usumbufu nenda kwenye google kasome acha mambo ya kubisha bisha nenda kwenye quora kajisomee utaelewe nini naandika hapa

Mtu akiwa na miaka 50 unakuwa amesha doda acha ushsmba na ubishi wa kijinga bana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio ushamba bali hata mimi mwenyewe nashangaa but siku hizi mtu akiwa na pesa ana uwezo wa kujiweka vizuri. Ukiangalia maskini utaona haiwezekani lakini kwa matajiri wanaweza. Mtu anaangalia anakula nini na anafanya mazoezi gani na analala masaa mangapi. Kama huna uwezo lazima ukorongoke mapema.
 
28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
Yani una mawazo kama yangu me mwenyewe nilishasema nikitaka kuoa Umri kuanzia 28 kwa sababu unakuta Mwanamke anajitambua vizuri zaidi, sio 22 au 25 hapo changamoto
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??

Chura!!!
 
Back
Top Bottom