Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Kulingana na wana saikolojia wa ndoa...Umri wa kuoa/kuolewa ni pale mtu anapokuwa tayari
Tunatofautiana utayari,
Wengine wanakuwa tayari wakiwa kwenye 20's,
Wengine wakiwa 30's,40's
Ni maamuzi tu.
Acheni kutusakama wadada jamani[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehe kumbeeee!!..ila kasie sidhani Kama anafikia kwa Faiza ..yupo hapo kwenye 30-40..kwa kudhani tu
yule mama anavimisemo flani ya kuonesha kala MUNYU usimpimie kwasababu sometimes huwa anajidogodishaga
Wewe unayo bikra?
Mimi naona haya Mambo hayana kanuniKulingana na wana saikolojia wa ndoa...
Mwanamke umri mzuri wa kuolewa ni 25 - 28
Mwanaume umri mzuri wa kuoa ni 28 - 32.
Chini ya hapo, akili huwa haijapevuka vya kutosha kukabili mambo ya ndoa.
Zaidi ya hapo, Yale mambo unayofanya umri ukienda zaidi yanaweza kua ndio kasoro kwenye ndoa (Eg:- kuna na X wengi)
#YNWA
Swali limekukolea?Kamuuliza Mama yako bikra ni nini?
Kisha uulize tena, Wanaume wanabikra?
Sio uniulize maswali ya vichaa
umewafata wangapi mpaka sasa kwa lengo la kuwaoa wakakataa boss?Kulinga sana na kujiona ni wapekee wakati wa usichana wao,
Kujifanya wanachagua sana
CC Zero IQ
Unapoteza muda wako tu kubishana na huyo 😔
Nilikuwa tu nimemuuliza swaliUnapoteza muda wako tu kubishana na huyo [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama Diva Lovenes alikuwa anataka watoe maali ya milioni 100 na wakati malinda Hana. Nani ataoa mwanamke mpuuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi tu mkuuumewafata wangapi mpaka sasa kwa lengo la kuwaoa wakakataa boss?
Kwanini Hana?Mwanaume hana Bikra. Hilo nilishaandika humu Mara kadhaa.