Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Kulingana na wana saikolojia wa ndoa...Umri wa kuoa/kuolewa ni pale mtu anapokuwa tayari
Tunatofautiana utayari,
Wengine wanakuwa tayari wakiwa kwenye 20's,
Wengine wakiwa 30's,40's
Ni maamuzi tu.
Acheni kutusakama wadada jamani[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke umri mzuri wa kuolewa ni 25 - 28
Mwanaume umri mzuri wa kuoa ni 28 - 32.
Chini ya hapo, akili huwa haijapevuka vya kutosha kukabili mambo ya ndoa.
Zaidi ya hapo, Yale mambo unayofanya umri ukienda zaidi yanaweza kua ndio kasoro kwenye ndoa (Eg:- kuna na X wengi)
#YNWA