Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 490
Sioi mwanamke zaidi ya 25 ...ilihali vitoto vipo,sitaki kununua gazette jioniHakuna formula ya umri wa kuoa wala kuolewa dunia imebadilika sana kama bado unaishi Stone Age utaumia sana. Niko na rafiki yangu kaolewa na miaka 50 na harusi tulicheza niko na mwingine alizaa last born wake akiwa na miaka 50 sasa hivi binti yake ana miaka 12 na mama anadunda vizuri na binti ni karembo sana.
Nilikuwa na rafiki yangu yeye aliolewa na kuzaa before 30 na akafa na 38. Nilichojifunza kwenye haya maisha bila kumjua Mungu utaishi kwa shida na wasi wasi sana.
Over 25 sioiSiku nyingine uje kuuliza umri sahihi wa kufa ni upi.
Sent From Galaxy S9
Sioi mwanamke zaidi ya 25 ...ilihali vitoto vipo,sitaki kununua gazette jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukioa ajuza huyo utakua umelamba garasaMara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
Niambie mzee wangu
Hilo ni tatizo lako binafsi unaniambia mimi ili iweje?
Umejuaje hayo mkuu[emoji16][emoji16]Sasa kama Diva Lovenes alikuwa anataka watoe maali ya milioni 100 na wakati malinda Hana. Nani ataoa mwanamke mpuuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni wewe unayeonekana kwa picha basi ukikosa ni matumizi mabaya ya uumbajiMbona mnatutisha[emoji46]
maana wengine ikiingia 2021 tuna 28 tunakia tushavuka mpaka[emoji22]
wanasema tatizo nyota mkuuKama ni wewe unayeonekana kwa picha basi ukikosa ni matumizi mabaya ya uumbaji
aweje ?njoo pm natafuta mke
semeni vigezo kabisaYou’re not late mamii. Njoo pm
[emoji2]em mimi
yani hata mgombea mmoja hajajitokezaUnamana mpaka sasa jimbo lipo wazi.
mmi sina vigezo kwan mimi mganga?aweje ?
nisije kuwa sina vigezo
Ni balaa mkuu, ndo maana wanasemaga mwalimu wa mwanamke Ni KIPOFU
Kwa maana
MWANAUME AKIOA ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
4. Uvumilivu
MWANAMKE AKIOLEWA ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.
HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu
WANAUME KAZ TUNAYO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganye wenzako, zaidi ya 25 taa nyekundu ishawaka