Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Hakuna formula ya umri wa kuoa wala kuolewa dunia imebadilika sana kama bado unaishi Stone Age utaumia sana. Niko na rafiki yangu kaolewa na miaka 50 na harusi tulicheza niko na mwingine alizaa last born wake akiwa na miaka 50 sasa hivi binti yake ana miaka 12 na mama anadunda vizuri na binti ni karembo sana.
Nilikuwa na rafiki yangu yeye aliolewa na kuzaa before 30 na akafa na 38. Nilichojifunza kwenye haya maisha bila kumjua Mungu utaishi kwa shida na wasi wasi sana.
Sioi mwanamke zaidi ya 25 ...ilihali vitoto vipo,sitaki kununua gazette jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sahihi mwanaume kutimiza miaka 31 bado anakula kwa mama na kwa mashemeji zake?
 
Ni balaa mkuu, ndo maana wanasemaga mwalimu wa mwanamke Ni KIPOFU
Kwa maana
MWANAUME AKIOA ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
4. Uvumilivu

MWANAMKE AKIOLEWA ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu
WANAUME KAZ TUNAYO.

Sent using Jamii Forums mobile app

Si hatari hii!?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom