Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Mkuu acha kuwatishia wadada.
 
Lol u have made my day buddy[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
31 kitu gani, kuna bingwa wa kitaa kaolewa mwaka jana ana 35, mpaka leo mshikaji anasifia kuwa ameokota dodo jangwani
 
Aisee..

Labda upate mume asiyetaka watoto wengi ...

Unaweza pigishwa kwata aisee.. Miaka minne watoto wanne..
 
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+

Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?

Tabia? Mwonekano? Au nini??
Umri wa kuoa/kuolewa ni pale mtu anapokuwa tayari

Tunatofautiana utayari,
Wengine wanakuwa tayari wakiwa kwenye 20's,
Wengine wakiwa 30's,40's

Ni maamuzi tu.

Acheni kutusakama wadada jamani[emoji3526]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…