DOKEZO Ni sahihi mwananchi kutozwa fedha ili apate Anuani ya Makazi (NaPA)?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.

Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?

Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?
 
Vitu vingine havihitaji usahihi bali kujiongeza tu, kama kutoa chochote ndo mfumo wa maisha, huna budi kuishi hivyo ili lengo lako litimie.

Sasa utaigomea 10,000 halafu mwanao akose mkopo wa kusoma chuo na boom?

Ni very unfair ila utafanyaje sasa
 
Si ndo affidavit if residence sio ni buku 5 ongea nae vizuri akogoma mtafute mwanasheria yoyote akutengenezee na muhuri uwepo unampa buku tano chap
 
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.

Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?

Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?

Suala la Anuani za Makazi nchini Tanzania ni Mpango ulioshindwa vibaya sana. Serikali imeshindwa kabisa kwenye suala hili, huwezi kuwa na Mradi wa Anuani za Makazi unaoeleweka bila ya kufanya kwanza utekelezaji wa Miradi ya Kupima Ardhi na Mipango-miji. Kwa kufanya hivyo, ni sawa sawa na kusema kwamba Mwanamke ambaye anapenda kujifungua Mtoto lakini hataki kubeba UJAUZITO. Ni jambo ambalo kamwe haliwezekani.
 
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.

Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?

Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?
Hiyo ni bure mkuu huyo mtendaji anachodai ni rushwa
 
Vitu vingine havihitaji usahihi bali kujiongeza tu, kama kutoa chochote ndo mfumo wa maisha, huna budi kuishi hivyo ili lengo lako litimie.

Sasa utaigomea 10,000 halafu mwanao akose mkopo wa kusoma chuo na boom?

Ni very unfair ila utafanyaje sasa

Je, unataka kusema kwamba vitendo viovu vya Rushwa na Wizi vihalalishwe?
 
Hiyo ni bure mkuu huyo mtendaji anachodai ni rushwa
Ili mtendaji akuhudumie lazima awe na smart phone pia awe na bundle la kumuwezesha aingie online ili fomu yako ijazwe. Kwaiyo lazima bundle ulipie
 
Nimepata huduma ya mjukuu wangu bure kwa mtendaji
 
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.

Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?

Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?

Kataa wahuni, si watu wazuri!
 
Ili mtendaji akuhudumie lazima awe na smart phone pia awe na bundle la kumuwezesha aingie online ili fomu yako ijazwe. Kwaiyo lazima bundle ulipie
Ni kazi yangu kweli mtendaji kuwa na bundle ili kufanya kazi yake??
 
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.

Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?

Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?
Navyofahamu malipo yoyote halali ya serikali ni kupitia control number, kwaio ukilipa dai risiti, otherwise huo ni upigaji, na ukizingatia pia hata barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji unachajiwa... hii ni scum huduma zinazotakiwa kutolewa na serikali kwa ajili ya wananchi zinakuwa chanzo cha upigaji tu
 
Back
Top Bottom