A
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.
Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?
Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?
Hiyo ni bure mkuu huyo mtendaji anachodai ni rushwaKUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.
Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?
Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?
Vitu vingine havihitaji usahihi bali kujiongeza tu, kama kutoa chochote ndo mfumo wa maisha, huna budi kuishi hivyo ili lengo lako litimie.
Sasa utaigomea 10,000 halafu mwanao akose mkopo wa kusoma chuo na boom?
Ni very unfair ila utafanyaje sasa
Ili mtendaji akuhudumie lazima awe na smart phone pia awe na bundle la kumuwezesha aingie online ili fomu yako ijazwe. Kwaiyo lazima bundle ulipieHiyo ni bure mkuu huyo mtendaji anachodai ni rushwa
Nimepata huduma ya mjukuu wangu bure kwa mtendajiIli mtendaji akuhudumie lazima awe na smart phone pia awe na bundle la kumuwezesha aingie online ili fomu yako ijazwe. Kwaiyo lazima bundle ulipie
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.
Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za Watendaji wa Kata lazima mpunga ukutoke, Nahoji Je, Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo anuani Na Makazi?
Ni sahihi mwananchi kutozwa Hela ili apate hiyo Anuani Na Makazi (NaPA)?
MZAZI NA MTOTO WANAWEZA KU SHARE HIYO NaPA AU KILA ANAKUWA NA YA KWAKE ?Nimepata huduma ya mjukuu wangu bure kwa mtendaji
Ni kazi yangu kweli mtendaji kuwa na bundle ili kufanya kazi yake??Ili mtendaji akuhudumie lazima awe na smart phone pia awe na bundle la kumuwezesha aingie online ili fomu yako ijazwe. Kwaiyo lazima bundle ulipie
Navyofahamu malipo yoyote halali ya serikali ni kupitia control number, kwaio ukilipa dai risiti, otherwise huo ni upigaji, na ukizingatia pia hata barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji unachajiwa... hii ni scum huduma zinazotakiwa kutolewa na serikali kwa ajili ya wananchi zinakuwa chanzo cha upigaji tuKUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa.