Ni sahihi mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri?

Ni sahihi mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Kibaiolojia, mwanamke anazeeka haraka sana kuliko mwanaume. Je, mwanaume kuoa mwanamke anayemzidi umri? Mfano kwa miaka 5 na kuendelea, huwa wanalenga starehe za muda mfupi au huwa na malengo ya kudumu katika maisha yao?

Wajuzi wa mambo karibuni kwa mjadala
 
Wapo wenye malengo (wachache sana) kama rais wa France,mke wake kampiga gap la zaidi ya miaka 20 na wanapendana kweli.
images (17).jpeg

Ila mara nyingi vijana wa kiume watumia kama njia ya kuwatoa kimaisha yaani kitonga.
 
Mi binafsi nawezakumvumilia mwanamke aliyenizid umri hata miaka mitano ila nisichoweza kuvumilia ni stress tu

Mwanamke kosa yote ila usinikere tu hapo tutadumu vzr sana

Nikianza kukosa amani kwa sababu yako ohooooo sitakuvumilia yaani nikaenawaza upuuzi wa mke wangu ilo ndo sitaki
 
Kumbe Kuna lengo la mapenzi na Kuna lengo la Milele.


Asizidi miaka mitatu na wakati mnaoana muwe na miaka chini ya 25 ili mgegedane vya kutosha na mpate watoto mkiwa bado Vijana.


Lkn Kama Ni kwa starehe tuu, umri namba tuu maana utelezi upo hata kwa kusaidia na kilainishi.
 
Mimi napenda mpenzi wangu anizidi kila kitu na mzoefu tunayeendana umri tutashindwana maana wanaume akili zao huwa zito vile tuko same age nitamuona Hana akili, pia bana wanawake tukizaa mwili hubadilika na kuwa wamama kuliko mwanaume
Yaani wewe.
 
Mi binafsi nawezakumvumilia mwanamke aliyenizid umri hata miaka mitano ila nisichoweza kuvumilia ni stress tu

Mwanamke kosa yote ila usinikere tu hapo tutadumu vzr sana

Nikianza kukosa amani kwa sababu yako ohooooo sitakuvumilia yaani nikaenawaza upuuzi wa mke wangu ilo ndo sitaki
Ngumu kumesa Aroo
 
Back
Top Bottom