Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Inawezekana mambo ya kipato yanachangiaWapo wenye malengo (wachache sana) kama rais wa France,mke wake kampiga gap la zaidi ya miaka 20 na wanapendana kweli.
View attachment 1529228
Ila mara nyingi vijana wa kiume watumia kama njia ya kuwatoa kimaisha yaani kitonga.
Tatizo linakuja pale baada ya kuishi, ke miaka 50, me miaka 40...hapo maumivu ya nafsi lazima yawepoMkipendana mbona hilo sio tatizo
Miaka ikisonga mbele,ndipo uhalisia ujitokezamapenzi ya kweli hayaangalii umri..umri ni namba tu
Hahahaa ukimpenda kwa dhati wala hutaona hzo kasoroTatizo linakuja pale baada ya kuishi, ke miaka 50, me miaka 40...hapo maumivu ya nafsi lazima yawepo
kama kuna upendo wa kweli hayo ni mambo madogo sanaMiaka ikisonga mbele,ndipo uhalisia ujitokeza
Ngozi ikianza kuwa oversize (makunyanzi) hapo ndipo tatizo lilipoHahahaa ukimpenda kwa dhati wala hutaona hzo kasoro
Kumbuka na wewe utakua unazeeka so ngozi yako itasinyaa pia.Ngozi ikianza kuwa oversize (makunyanzi) hapo ndipo tatizo lilipo
Inategemea na gap la umriKumbuka na wewe utakua unazeeka so ngozi yako itasinyaa pia.
Ila ukimtunza vizuri wala hatazeeka vibaya
Ni kwel, mwanamke atleast asizidi miaka zaidi ya 5. Ila mapenzi kitu ingine bana, wacha watu wapendane wenyeweInategemea na gap la umri
Yaani wewe.Mimi napenda mpenzi wangu anizidi kila kitu na mzoefu tunayeendana umri tutashindwana maana wanaume akili zao huwa zito vile tuko same age nitamuona Hana akili, pia bana wanawake tukizaa mwili hubadilika na kuwa wamama kuliko mwanaume
Whaaat!!Yaani wewe.
Unajiona kuwa wanawake mko smart kuzidi wanaume!Whaaat!!
Ngumu kumesa ArooMi binafsi nawezakumvumilia mwanamke aliyenizid umri hata miaka mitano ila nisichoweza kuvumilia ni stress tu
Mwanamke kosa yote ila usinikere tu hapo tutadumu vzr sana
Nikianza kukosa amani kwa sababu yako ohooooo sitakuvumilia yaani nikaenawaza upuuzi wa mke wangu ilo ndo sitaki