Panda ndege mkuu --- Bukinabe ukishatua utatupa mrejeshoHuyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?
Inasemekana mengi ni uwongo, deep fakes na AI generated images and videos japo baadhi ya mambo ni kweli. Al Jazeera waliliongelea hili kipindi fulani. Dogo amepata cult following na ameleta msisimko sana kwamba sasa Afrika angalau inaongelewa katika muktadha wa kimajumui na ameleta mvuvumko wa kujikomboa na kujitegemea. Na hili ni jambo jema!Huyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?
Amekukosea Nini huyu kijanaHuyu dogo watamuuwa kirahisi sana sana
USSR
Kama humuelewi huyu pitia story za Gaddafi Libya utaelewa mambo aliowafanyiaHuyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?
Hawajui vizuri wazungu huyu. Watajifanya wanamkubali kijeshijeshi lakini baadae watamfanya kama osamaHuyu dogo watamuuwa kirahisi sana sana
USSR
Binafsi naona wapumbavu wengi ndo wanamshobokeaHuyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?
Japo anajitahidi kidgHuyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?
Binafsi naona wapumbavu wengi ndo wanamshobokea
Umasikini mkubwa
Nchi ya 185/193
Yaani nchi ya 8 kwa umasikini duniani
Kujilinda muhimuuuu!!
Kwann wakati anajilinda muda woteHuyu dogo watamuuwa kirahisi sana sana
USSR
Pia kilichompa kiki ni vile ana deal na wafaransaInasemekana mengi ni uwongo, deep fakes na AI generated images and videos japo baadhi ya mambo ni kweli. Al Jazeera waliliongelea hili kipindi fulani. Dogo amepata cult following na ameleta msisimko sana kwamba sasa Afrika angalau inaongelewa katika muktadha wa kimajumui na ameleta mvuvumko wa kujikomboa na kujitegemea. Na hili ni jambo jema!