Ni sahihi Rais Traore kukutana na maraisi huko Russia akiwa na bastola kibindoni?

Huyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?

,amejenga shule 200 ,mahospital na madaraja na pia barabara za lami kilomita karbu 3000 Kwa muda aliokaa?? Kwa muda mfupi anakimbizana na ccm yenye miaka 60
 
Unajua maana ya diplomacy/diplomasia?
Swali lako halikutakiwa kulenga tatizo lolote la kidiplomasia kutokana na kuwa na bastola.

Lingejikita kwenye itifaki( protocal) za kiusalama.

As long as wamemruhusu wahusika wewe hupaswi kuwa na wasi wasi.
 
Tafuta mtandaoni magazeti ya Burkina Faso then translate to kiswahili uweze kusoma habari za huko
Ni gazeti gani Tanzania linamsema vibaya Samia. Na hapo Tanzania ina demokrasia maradufu mbele ya Burkina Faso
 
Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.

Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.

Kwa sisi wakali wa Diplomacy kutoka chuo cha diplomacy......tukutane hapa kujadili protocol

Je anachokifanya mwamba Traore .... tafsiri yake ni Nini???[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3330069

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu hana muda mrefu watamla kichwa au watamfurusha wanamlia timing mabeberu wakikuamlia hutoboi
 
Ana mda gani ofisin ili tumhukum
Alimpindua Lieutenant Colonel Damiba aliyekuwa madarakani kwa miezi 8.

Huyu kakaa miaka miwili na hamna kilichobadilika chochote, hoja zake za kufanya mapinduzi kati ya zote hajatekeleza hata moja. Hoja kuu ilikuwa suala la ugaidi, alivyoikuta nchi ndivyo vilevile ilivyo.

Sababu zake za kupindua ndio hizohizo zitatumika kwake, alidhani rahisi tu kutenda kama ilivyo kwenye kutamka.
 
Huyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?
Hakuna kitu nwebwe tu nyingi..
 
Unajua maana ya diplomacy/diplomasia?
Swali lako halikutakiwa kulenga tatizo lolote la kidiplomasia kutokana na kuwa na bastola.

Lingejikita kwenye itifaki( protocal) za kiusalama.

As long as wamemruhusu wahusika wewe hupaswi kuwa na wasi wasi.
Ahaa sawa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.

Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.

Kwa sisi wakali wa Diplomacy kutoka chuo cha diplomacy......tukutane hapa kujadili protocol

Je anachokifanya mwamba Traore .... tafsiri yake ni Nini???[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3330069

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kama nchi mwenyeji wameliona hilo na wala hawajalipinga wala kulikemea wewe umeshiba zako mihogo na unaanza kuona Traore amekosea kweli.
 
Alimpindua Lieutenant Colonel Damiba aliyekuwa madarakani kwa miezi 8.

Huyu kakaa miaka miwili na hamna kilichobadilika chochote, hoja zake za kufanya mapinduzi kati ya zote hajatekeleza hata moja. Hoja kuu ilikuwa suala la ugaidi, alivyoikuta nchi ndivyo vilevile ilivyo.

Sababu zake za kupindua ndio hizohizo zitatumika kwake, alidhani rahisi tu kutenda kama ilivyo kwenye kutamka.
Ungetuwekea ushahidi wa haya unayoyaandika ingekuwa bora zaidi.
 
Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.

Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.

Kwa sisi wakali wa Diplomacy kutoka chuo cha diplomacy......tukutane hapa kujadili protocol

Je anachokifanya mwamba Traore .... tafsiri yake ni Nini???[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3330069

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe unafikiri hao marais wenzake waliovaa suits (akina Puttin) hawana bastola? Waulize watu wenye chembe chembe za masuala ya ulinzi na usalama watakwambia. Ukweli ni kwamba hao wote wana bastola kwenye makoti yao, hawatembei kizembe wameficha mapanga ya kizungu ndani ya koti.

Sikuhizi watu waliozoea kutembea na silaha za moto hawatembei na silaha kiunoni/pajani, huwa wanazichomeka ndani ya koti ambalo limeshoneshwa vizuri kwa ndani. Kikinuka utawaona wanaingiza mkono ndani ya koti kama vile wanajikuna kwenye mbavu😆

Traore ni kama waafrika wenzake ambao wakimiliki magari wananing'iniza ufunguo wa gari kwenye ruksi ya suruali, lakini wenzetu wanaoyaunda hayo magari hawaning'inizi funguo za gari kwenye ruksi/mikanda ya suruali.
 
Back
Top Bottom