Ni sahihi Rais Traore kukutana na maraisi huko Russia akiwa na bastola kibindoni?

Ni sahihi Rais Traore kukutana na maraisi huko Russia akiwa na bastola kibindoni?

Huyu dogo natamani sana nione uhakiki wa hata kimoja alichokifanya, mnakera sana na mapambio ya kumsifu.
Huko kwake Kuna mtandao huru kama huu wa JF nipitie na kusoma kinachosemwa na raia wake, pale ambapo wanatoa maoni bila kuogopa hayo magwanda yake?
Kuna video za wode maya YouTube yuko Burkina Faso ebu zitafute labda unaweza kupata mbili tatu ya aliyoyafanya huyo dogo. Yote kwa yote inabidi apunguze sifa Si unajua mgema akisifiwa
 
Kwa hali hii ni dhahiri kwamba bado tuna safari ndefu sana Mkuu .
Sana,, hii ndo namna halisi ya kumtafsiri mtanzania sasa, vitu serious anaingiza jokes na kejeri halafu mambo ya kipuuzi ndo utakuta jitu lina toa maelezo marefu kweli yenye ufafanuzi kabisa 😑😑
 
Mjadala ilikuwa kwamba hiyo issue imekaa vipi kidiplomasia lakini ajabu mazee mazima na kende zao yamekaa kujadili sijui dogo kafanya nini mara anajiona sijui atakuja kufa vibaya,, what's the fuckin shits [emoji58]
Hii ndo nature yetu wa bongo[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama hukubaliani na nilichoandika ni kazi yako kupinga kwa kuonyesha ushahidi, sio kazi yangu kujiwekea ushahidi mwenyewe kwa sababu sijipingi.

Mfano wewe unasema : Juma yupo. Nikakuuliza yuko wapi ? Hapa bila shaka utaniambia yupo sehemu fulani.

Mtu anapotaka ushahidi anakuwa anakuadhania ya wewe hilo jambo unalijua zaidi, kwahiyo ni wajibu wako kutoa ushahidi pindi mtu anapotaka ushahidi.

Haya uliyo yaandika hapa sio yako wewe, wewe umeyaweka hadharani na kutilia mkazo zaidi, ingekuwa ni yako mwenyewe na kwa ajili yako usinge yaandika hapa. B

Huu ni ushauri tu, kama jambo huna ushahidi nalo, bora usiliongee mbele za watu au ukaliweka hadharani.

Sasa mambo ya kuwa sikubaliani na wewe hii sio sawa.
 
Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.

Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.

Kwa sisi wakali wa Diplomacy kutoka chuo cha diplomacy......tukutane hapa kujadili protocol

Je anachokifanya mwamba Traore .... tafsiri yake ni Nini???[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3330069

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sidhani kama kuna Rais hatembei na silaha
 
Mfano wewe unasema : Juma yupo. Nikakuuliza yuko wapi ? Hapa bila shaka utaniambia yupo sehemu fulani.

Mtu anapotaka ushahidi anakuwa anakuadhania ya wewe hilo jambo unalijua zaidi, kwahiyo ni wajibu wako kutoa ushahidi pindi mtu anapotaka ushahidi.

Haya uliyo yaandika hapa sio yako wewe, wewe umeyaweka hadharani na kutilia mkazo zaidi, ingekuwa ni yako mwenyewe na kwa ajili yako usinge yaandika hapa. B

Huu ni ushauri tu, kama jambo huna ushahidi nalo, bora usiliongee mbele za watu au ukaliweka hadharani.

Sasa mambo ya kuwa sikubaliani na wewe hii sio sawa.
Yote niliyoandika ni ukweli, bahati mbaya sina muda wa kuandika ushahidi maana nimeandika mambo tofautitofauti. Kama unaamini sawa, kama huamini ni sawa pia.

Ila kama unayapinga, pinga kwa kusema kipi si sahihi kati ya niliyosema, na badala yake sahihi ni kipi.
 
Badala ya kusema kilichozungumzwa huko wewe unaleta habari za bastola mpuuuzi kweli, sasa kama polisi wenu wanazo atashindwa kuwa nayo traore?
 
Back
Top Bottom