Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,310
Mzee mbona umehamaki hivyo?Badala ya kusema kilichozungumzwa huko wewe unaleta habari za bastola mpuuuzi kweli, sasa kama polisi wenu wanazo atashindwa kuwa nayo traore?
Mzee mbona umehamaki hivyo?Badala ya kusema kilichozungumzwa huko wewe unaleta habari za bastola mpuuuzi kweli, sasa kama polisi wenu wanazo atashindwa kuwa nayo traore?
Traore lazima ajilinde kwa kuwa anaandamwa na machawa waliozoea kutafuna rasilimali za taifa.Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.
Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.
Kwa sisi wakali wa Diplomacy kutoka chuo cha diplomacy......tukutane hapa kujadili protocol
Je anachokifanya mwamba Traore .... tafsiri yake ni Nini???[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3330069
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
We mjanja una nini cha kumzidi?Huyo dogo mshamba mshamba tu
Ni sahihi suala la usalama bado linaendelea kuwa kipengele katika miaka yake hii 2,Kaingia madarakani late 2022 ila mpaka sasa 20% ya shule zimefungwa na 20% ya vituo vya afya vimefungwa. Tatizo kuu la Burkina Faso ambalo anashindwa kupiga hatua kidogo mpaka sasa hata hayo mengine akiacha nayo kabisa, raia watamshukuru akileta usalama
Kisai
watu wa Burkina Faso wapo wengi mno nchini,na mmoja wao ni Stephen Aziz KI basi muulize.Panda ndege mkuu --- Bukinabe ukishatua utatupa mrejesho
Duu mbona ubongo wako umeshindwa kucheua kwann yeye anamuda gani madarakani ? Je huo muda alokaa madarakani unatosha kumaliza umasikini? Au umetumia pua kufikiria kuliko kunusaBinafsi naona wapumbavu wengi ndo wanamshobokea
Umasikini mkubwa
Nchi ya 185/193
Yaani nchi ya 8 kwa umasikini duniani
Ni kweli Traore alikataa mwaliko wa Trump kuhudhuria uapisho wake?Fun fact:
Pro NATO/US ndio wanaoongoza kwa kumchukia na kumsema vibaya Traore hapa jukwaani.
Hii haiwezi kuwa bahati mbaya.
Angekuwa mbongo agekuwa kabila gani?Huyo dogo mshamba mshamba tu
MsukumaAngekuwa mbongo agekuwa kabila gani?
Hatakufa Bali ataishiHuyu dogo watamuuwa kirahisi sana sana
USSR
JmnBinafsi naona wapumbavu wengi ndo wanamshobokea
Umasikini mkubwa
Nchi ya 185/193
Yaani nchi ya 8 kwa umasikini duniani
Muulize mwenyewe, ana akaunti yake humu. 👇🏽👇🏽👇🏽Ni kweli Traore alikataa mwaliko wa Trump kuhudhuria uapisho wake?
Ulitaka awe na condom??Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.
Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.
Kwa sisi wakali wa Diplomacy kutoka chuo cha diplomacy......tukutane hapa kujadili protocol
Je anachokifanya mwamba Traore .... tafsiri yake ni Nini???[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 3330069
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Iyo ni identity yake bana acha atambae nayoHii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.
Tena sio hivyo tu bali pia Traore ameshuka kwenye ndege huko Russia na akapokelewa hivyo hivyo akiwa na Bastola yake.
Kwa sisi wakali wa Diplomacy kutoka chuo cha diplomacy......tukutane hapa kujadili protocol
Je anachokifanya mwamba Traore .... tafsiri yake ni Nini???[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 3330069
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kijana mshamba sana. Lakini ndio Afrika yetu sasa. Tufanyeje sasa! 🙆🙆🙆🙆Hii picha ya Rais Traore kukutana na Rais Maduro wa Venezuela huko Russia huku akiwa na Bastola yake inayoonekana wazi kabisa imejadiliwa sana.