Yaan wewe ulitakaje?Kibiashara limekaaje hili, na Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya Nini ?
Anauliza Mdau?!! X
Hivyo hivyo mradi ubao unaonekanaInaonekana vibaya sana 😁🤣
azam atulie, kaachiwa ligi kuu peke yake anarusha, epl ipo akaombe ashindane na dstv. TBC ni tv ya umma haifanyi biashara acheni iwape burudani wananchi wa kipato cha chini nao waburudike na mpiraImagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu 24 kuona mechi hizo!
Kibiashara limekaaje hili? Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya nini?
Anauliza mdau kutoka X.
TVE nao wanarusha Ila sio bure unalipiaTena sio TBC pekee kama kuna mwingine anaweza naye atupee burudani ya bureee.
Imagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu 24 kuona mechi hizo!
Kibiashara limekaaje hili? Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya nini?
Anauliza mdau kutoka X.
ila kwa ile quality ya picha ni bora ulipie tu kifurushiTena TBC ndio hawabanwi sana kuonyeshwa kwa vigezo kwani CAF huwa inatoa kaunafuu kwa nchi wanachama kuonyesha michuano Yao ni TBC tuu walikua hawajachangamka,ndomana Zamani ilikua kuanzia group stage channel inayoonyesha ni ZBC2 na Sio Azam TV.
Haviusiani kwani azam alianzisha tv kwa ajili ya mashindano ya caf au anaatimiliki peke yake.?Imagine wewe ndio mmiliki wa Azam TV halafu unasikia TBC wanaonesha bure michuano mikubwa ya CAF CHAMPIONS LEAGUE tena kupitia kisumbusi chako hicho hicho ambacho wewe una wataka watu walipie elfu 24 kuona mechi hizo!
Kibiashara limekaaje hili? Ingekuwa wewe ndio mmiliki wa Azam TV ungefanya nini?
Anauliza mdau kutoka X.