Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mbona mkataba mzuri tuSamia na Mbarawa our public enemies.
Duniani kote hakunaga Mkataba mbaya!
Kabisa ila huu mama ameupiga mwingiDuniani kote hakunaga Mkataba mbaya!
Ukiuliza maswali hayo , Zitto Kabwe na kundi lake watasema wewe ni mbaguziMakamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.
Leo mjadala hafifu unaendelea bungeni ambao kwa vyovyote vile hakuna mbunge anayeonekana kuelewa au kusimama kwa akili zake...wote wamesimama na misimamo ya vyama vyao.
Katika mazingira haya ni sahihi kumruhusu Mbunge wa Zanzibar kujenga hoja huku wananchi wakiamini kinachouzwa siyo cha Muungano?
Je, Bunge la Jamuhuri linaweza kuuza rasilimali za Zanzibar?
Hata was TRL tuliambiwa kuwa no mkataba mzuri sana.
soma katiba inasema nini kuhusu mbungecwa zanzibar kabla ya kujambajambaMakamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.
Leo mjadala hafifu unaendelea bungeni ambao kwa vyovyote vile hakuna mbunge anayeonekana kuelewa au kusimama kwa akili zake...wote wamesimama na misimamo ya vyama vyao.
Katika mazingira haya ni sahihi kumruhusu Mbunge wa Zanzibar kujenga hoja huku wananchi wakiamini kinachouzwa siyo cha Muungano?
Je, Bunge la Jamuhuri linaweza kuuza rasilimali za Zanzibar?
Wakae kimyaMakamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.
Leo mjadala hafifu unaendelea bungeni ambao kwa vyovyote vile hakuna mbunge anayeonekana kuelewa au kusimama kwa akili zake...wote wamesimama na misimamo ya vyama vyao.
Katika mazingira haya ni sahihi kumruhusu Mbunge wa Zanzibar kujenga hoja huku wananchi wakiamini kinachouzwa siyo cha Muungano?
Je, Bunge la Jamuhuri linaweza kuuza rasilimali za Zanzibar?
Ya Tanganyika yaamuliwe na Watanganyika kama ya Zanzibar yanavyoamuliwa na Wazanzibar.Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.