Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!..

Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo yao n.k

Hawa viumbe ni mama zetu,dada,wake n.k lkn linapokuja swala la uongozi na wao abadani mi nakosa Imani,hii imechagizwa na hulka zao mbalimbali mfano;
Wanawake ni wepesi sana kwenye kufata mkumbo pasipo kuwa na fikra yakinifu!.. waweza hata kuangalia kwenye maswala ya Imani wanaweza kuamini vitu kwa urahisi sana (wepesi kurubunika) nafikiri wenzangu mwaweza kuwa mashuhuda kwenye hili hata kwenye mikutano ya hawa watu wanaojiita manabii wanawake ndio wamejazana sana na hata usione matokeo chanya wanapohudhuria kwa hao manabii zaidi ya Kila siku kujaziwa maji ya upako ndani..😂

Hawana tafakari za kina,wengi wao wanapenda vitu visivyo na utafakari kwa kina,fatilia hata humu ndani ukianzisha mada ya utafakari hii jinsia ya kike wengi wao hawatajihusisha nayo ila anzisha habari ya udaku watapaparukia kama nyuki wamepata mzinga mpya!.

Wepesi kukwazika kihisia..
Sifa Moja wapo ya kiongozi ni lazima awe na hulka ya kumudu hisia zake,ktk hili wanawake hawajaweza kufahuru!,si kifua wao hawana ye atakapotaka limtoke litamtoka,akitaka kulia atalia hata kama hapo hapastahili kulia!.
Sambamba na hilo hawa viumbe wanahuruma sana!,si dhambi kuwa na huruma ila lazima u balance!.

Ulimbukeni wa elimu na pesa..
Kusoma ndio wamesona lkn kutokana na kusoma huko wamepata viburi,vitu hivi viwili wao badala yakuvifanya kuwa fimbo ya kuchapia matatizo yao wao wamevifanya kuwa fimbo ya kuchapia watu/kuonyesha ujeuri/kujidai/kutambia/majivuna.. mbaya zaidi badala watumie elimu na pesa kujenga ndoa zao wao ndio imekuwa vitu vya kuwapatia kiburi na kuwatesa waume zao!.

Naturally Sina hakika kama mwanamke alifanywa kuwa kiongozi!,napata mashaka sana na vile walivyo ni kama watoto haijalishi kakuwa hadi kufika wapi!.. kwangu heshima yenu itabaki kuwa ileile ila sio kwenye maswala ya uongozi!!.
Nafikiri inahitaji hormones fulanifulani za kiume kwenye mwili wa kike ili angalau ku balance mambo na aweze kuwa na sifa za uongozi!.

Wewe mdau mwenzangu nini maoni yako..?
Je,unaona kama Mimi nilivyoona au Mimi kipofu..?
 
Wanawake ni wepesi sana kwenye kufata mkumbo pasipo kuwa na fikra yakinifu!.. waweza hata kuangalia kwenye maswala ya Imani wanaweza kuamini vitu kwa urahisi sana (wepesi kurubunika) nafikiri wenzangu mwaweza kuwa mashuhuda kwenye hili hata kwenye mikutano ya hawa watu wanaojiita manabii wanawake ndio wamejazana sana na hata usione matokeo chanya wanapohudhuria kwa hao manabii zaidi ya Kila siku kujaziwa maji ya upako ndani..[emoji23]

Hawana tafakari za kina,wengi wao wanapenda vitu visivyo na utafakari kwa kina,fatilia hata humu ndani ukianzisha mada ya utafakari hii jinsia ya kike wengi wao hawatajihusisha nayo ila anzisha habari ya udaku watapaparukia kama nyuki wamepata mzinga mpya!.

Wepesi kukwazika kihisia..
Sifa Moja wapo ya kiongozi ni lazima awe na hulka ya kumudu hisia zake,ktk hili wanawake hawajaweza kufahuru!,si kifua wao hawana ye atakapotaka limtoke litamtoka,akitaka kulia atalia hata kama hapo hapastahili kulia!.
Sambamba na hilo hawa viumbe wanahuruma sana!,si dhambi kuwa na huruma ila lazima u balance!.

Ulimbukeni wa elimu na pesa..
Kusoma ndio wamesona lkn kutokana na kusoma huko wamepata viburi,vitu hivi viwili wao badala yakuvifanya kuwa fimbo ya kuchapia matatizo yao wao wamevifanya kuwa fimbo ya kuchapia watu/kuonyesha ujeuri/kujidai/kutambia/majivuna.. mbaya zaidi badala watumie elimu na pesa kujenga ndoa zao wao ndio imekuwa vitu vya kuwapatia kiburi na kuwatesa waume zao!.

Naturally Sina hakika kama mwanamke alifanywa kuwa kiongozi!,napata mashaka sana na vile walivyo ni kama watoto haijalishi kakuwa hadi kufika wapi!.. kwangu heshima yenu itabaki kuwa ileile ila sio kwenye maswala ya uongozi!!.
Nafikiri inahitaji hormones fulanifulani za kiume kwenye mwili wa kike ili angalau ku balance mambo na aweze kuwa na sifa za uongozi!.

Wewe mdau mwenzangu nini maoni yako..?
Je,unaona kama Mimi nilivyoona au Mimi kipofu..?
Sijui na mimi ni kipofu kama wewe[emoji848]
Ila ngoja waje wengine wenye uzoefu wakujua mengine mazuri ya wanawake katika uongozi hasa katika uliyo ya sema taassisi kubwakubwa
 
Maoni yangu kwenye mada hii sio kila mwanamke anafaa kuwa kiongozi, haundwa kufanya kazi hiyo!
Ila wapo wanawake wachache sana na ambao hawapo kila wakati, wao wamekuwa against na nature ndio maana waliweza kuwa viongozi.
Tena wachache sana na hao wachache wanatakiwa wachunguzwe kwelikweli..😅
 
Sijui mtanionaje, me wanawake nawaheshimu ila ktk hili ngoja nioongee

Kama ndg yang alivosem wanawake wanamapunguf mengi ukilinganisha na wanaume

Wanatoa maamuzi kwa hisia pasi na kufanya uchunguzi

Maringo,kiburi na dharau kwa waume kama waume zao wanakipato cha kawaida

#binafsi siafiki suala LA 50/50 ni ukandamizaji kwa wanaume, kama ukimuajiri mwanamke ova mwanaume unajua umesababisha umaskin kwa watu wangapi?? Lakini msicmsichana hula na wakwao

Na ukweli usiopingika pesa ya msichana haina malengo zaidi ya kuvaa, kula na kujenga na gari zuri lakini wanaume wanaweza wasijali sana kwenye kuvaa na hio pesa anaweza akawekeza kwenye miradi mbalimbali hata ivo mwanamke kupata pesa in nyongeza tu,
 
Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!..

Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo yao n.k

Hawa viumbe ni mama zetu,dada,wake n.k lkn linapokuja swala la uongozi na wao abadani mi nakosa Imani,hii imechagizwa na hulka zao mbalimbali mfano;
Wanawake ni wepesi sana kwenye kufata mkumbo pasipo kuwa na fikra yakinifu!.. waweza hata kuangalia kwenye maswala ya Imani wanaweza kuamini vitu kwa urahisi sana (wepesi kurubunika) nafikiri wenzangu mwaweza kuwa mashuhuda kwenye hili hata kwenye mikutano ya hawa watu wanaojiita manabii wanawake ndio wamejazana sana na hata usione matokeo chanya wanapohudhuria kwa hao manabii zaidi ya Kila siku kujaziwa maji ya upako ndani..😂

Hawana tafakari za kina,wengi wao wanapenda vitu visivyo na utafakari kwa kina,fatilia hata humu ndani ukianzisha mada ya utafakari hii jinsia ya kike wengi wao hawatajihusisha nayo ila anzisha habari ya udaku watapaparukia kama nyuki wamepata mzinga mpya!.

Wepesi kukwazika kihisia..
Sifa Moja wapo ya kiongozi ni lazima awe na hulka ya kumudu hisia zake,ktk hili wanawake hawajaweza kufahuru!,si kifua wao hawana ye atakapotaka limtoke litamtoka,akitaka kulia atalia hata kama hapo hapastahili kulia!.
Sambamba na hilo hawa viumbe wanahuruma sana!,si dhambi kuwa na huruma ila lazima u balance!.

Ulimbukeni wa elimu na pesa..
Kusoma ndio wamesona lkn kutokana na kusoma huko wamepata viburi,vitu hivi viwili wao badala yakuvifanya kuwa fimbo ya kuchapia matatizo yao wao wamevifanya kuwa fimbo ya kuchapia watu/kuonyesha ujeuri/kujidai/kutambia/majivuna.. mbaya zaidi badala watumie elimu na pesa kujenga ndoa zao wao ndio imekuwa vitu vya kuwapatia kiburi na kuwatesa waume zao!.

Naturally Sina hakika kama mwanamke alifanywa kuwa kiongozi!,napata mashaka sana na vile walivyo ni kama watoto haijalishi kakuwa hadi kufika wapi!.. kwangu heshima yenu itabaki kuwa ileile ila sio kwenye maswala ya uongozi!!.
Nafikiri inahitaji hormones fulanifulani za kiume kwenye mwili wa kike ili angalau ku balance mambo na aweze kuwa na sifa za uongozi!.

Wewe mdau mwenzangu nini maoni yako..?
Je,unaona kama Mimi nilivyoona au Mimi kipofu..?
Mi naona upo sawa.

Uongozi uendane na kuweza kuwa wewe na kufanya maamuzi.

Kama mwanamke ataweza kufanya hivyo awe na awe kiongozi, hamna shida. Ila mtu awaye yote (hata mwanaume) anayeendekeza tabia za kike ukiwemo uchawa na kutokuwa na msimamo binafsi hafai kuwa kiongozi.

Dalili zinaonesha wanawake kiasili hawawezi kuwa wao, rejea make up, vipodozi na mitindo ya nywele kila uchao. Na often how you do one thing is how you do everything. So ni tatizo. Kila mtu akae pale mahala anapofiti ndio mpango, asipendelewe mtu hata kama hawezi kisa tu jinsia.
 
Back
Top Bottom