Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mashariki ya mbali au kule sowetoTV tunayo lakini remote iko chumbani kwa baba na nyingine iko mashariki ya Kati.
Uko sahihi kwa asilimia kubwa, mwanamme akipewa uongozi kiongozi halisi anakuwa ni mmewe au bwana/mpenzi/mchepuko wakeKichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!..
Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo yao n.k
Hawa viumbe ni mama zetu,dada,wake n.k lkn linapokuja swala la uongozi na wao abadani mi nakosa Imani,hii imechagizwa na hulka zao mbalimbali mfano;
Wanawake ni wepesi sana kwenye kufata mkumbo pasipo kuwa na fikra yakinifu!.. waweza hata kuangalia kwenye maswala ya Imani wanaweza kuamini vitu kwa urahisi sana (wepesi kurubunika) nafikiri wenzangu mwaweza kuwa mashuhuda kwenye hili hata kwenye mikutano ya hawa watu wanaojiita manabii wanawake ndio wamejazana sana na hata usione matokeo chanya wanapohudhuria kwa hao manabii zaidi ya Kila siku kujaziwa maji ya upako ndani..😂
Hawana tafakari za kina,wengi wao wanapenda vitu visivyo na utafakari kwa kina,fatilia hata humu ndani ukianzisha mada ya utafakari hii jinsia ya kike wengi wao hawatajihusisha nayo ila anzisha habari ya udaku watapaparukia kama nyuki wamepata mzinga mpya!.
Wepesi kukwazika kihisia..
Sifa Moja wapo ya kiongozi ni lazima awe na hulka ya kumudu hisia zake,ktk hili wanawake hawajaweza kufahuru!,si kifua wao hawana ye atakapotaka limtoke litamtoka,akitaka kulia atalia hata kama hapo hapastahili kulia!.
Sambamba na hilo hawa viumbe wanahuruma sana!,si dhambi kuwa na huruma ila lazima u balance!.
Ulimbukeni wa elimu na pesa..
Kusoma ndio wamesona lkn kutokana na kusoma huko wamepata viburi,vitu hivi viwili wao badala yakuvifanya kuwa fimbo ya kuchapia matatizo yao wao wamevifanya kuwa fimbo ya kuchapia watu/kuonyesha ujeuri/kujidai/kutambia/majivuna.. mbaya zaidi badala watumie elimu na pesa kujenga ndoa zao wao ndio imekuwa vitu vya kuwapatia kiburi na kuwatesa waume zao!.
Naturally Sina hakika kama mwanamke alifanywa kuwa kiongozi!,napata mashaka sana na vile walivyo ni kama watoto haijalishi kakuwa hadi kufika wapi!.. kwangu heshima yenu itabaki kuwa ileile ila sio kwenye maswala ya uongozi!!.
Nafikiri inahitaji hormones fulanifulani za kiume kwenye mwili wa kike ili angalau ku balance mambo na aweze kuwa na sifa za uongozi!.
Wewe mdau mwenzangu nini maoni yako..?
Je,unaona kama Mimi nilivyoona au Mimi kipofu..?
Mwendazake nae alikua anatumia hisia je unamlinganisha na huyu wa sasa??Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!..
Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo yao n.k
Hawa viumbe ni mama zetu,dada,wake n.k lkn linapokuja swala la uongozi na wao abadani mi nakosa Imani,hii imechagizwa na hulka zao mbalimbali mfano;
Wanawake ni wepesi sana kwenye kufata mkumbo pasipo kuwa na fikra yakinifu!.. waweza hata kuangalia kwenye maswala ya Imani wanaweza kuamini vitu kwa urahisi sana (wepesi kurubunika) nafikiri wenzangu mwaweza kuwa mashuhuda kwenye hili hata kwenye mikutano ya hawa watu wanaojiita manabii wanawake ndio wamejazana sana na hata usione matokeo chanya wanapohudhuria kwa hao manabii zaidi ya Kila siku kujaziwa maji ya upako ndani..[emoji23]
Hawana tafakari za kina,wengi wao wanapenda vitu visivyo na utafakari kwa kina,fatilia hata humu ndani ukianzisha mada ya utafakari hii jinsia ya kike wengi wao hawatajihusisha nayo ila anzisha habari ya udaku watapaparukia kama nyuki wamepata mzinga mpya!.
Wepesi kukwazika kihisia..
Sifa Moja wapo ya kiongozi ni lazima awe na hulka ya kumudu hisia zake,ktk hili wanawake hawajaweza kufahuru!,si kifua wao hawana ye atakapotaka limtoke litamtoka,akitaka kulia atalia hata kama hapo hapastahili kulia!.
Sambamba na hilo hawa viumbe wanahuruma sana!,si dhambi kuwa na huruma ila lazima u balance!.
Ulimbukeni wa elimu na pesa..
Kusoma ndio wamesona lkn kutokana na kusoma huko wamepata viburi,vitu hivi viwili wao badala yakuvifanya kuwa fimbo ya kuchapia matatizo yao wao wamevifanya kuwa fimbo ya kuchapia watu/kuonyesha ujeuri/kujidai/kutambia/majivuna.. mbaya zaidi badala watumie elimu na pesa kujenga ndoa zao wao ndio imekuwa vitu vya kuwapatia kiburi na kuwatesa waume zao!.
Naturally Sina hakika kama mwanamke alifanywa kuwa kiongozi!,napata mashaka sana na vile walivyo ni kama watoto haijalishi kakuwa hadi kufika wapi!.. kwangu heshima yenu itabaki kuwa ileile ila sio kwenye maswala ya uongozi!!.
Nafikiri inahitaji hormones fulanifulani za kiume kwenye mwili wa kike ili angalau ku balance mambo na aweze kuwa na sifa za uongozi!.
Wewe mdau mwenzangu nini maoni yako..?
Je,unaona kama Mimi nilivyoona au Mimi kipofu..?
Umo umoo mkuu waskulegeze ushindwe kushikilia bombaKwenye kampuni yangu ndogo nimeshindwa kabsa kaajiri dada zetu kwa sababu ya udhuru kibao mara ujauzito, mara kitchen part ,mara sndoff , mara Leo tumbo linauma , kwa sisi nchi zinazoendelea tutachelewa sna katika kufanya maamuzi magumu , ilipaswa wanaume tusafishe njia kwanza ata hawa dada zetu wakishika hatamu wapite kwenye njia lain .
ADD SALT IN THE WOUND!🤔🤔Mwendazake nae alikua anatumia hisia je unamlinganisha na huyu wa sasa??
Hapo vip??
Mwendazake mbona hakua na shipa la uvumilivu kama huyuWawe na shipa la uvumilivu tu..[emoji28]
Ujajitoa ufaham sioMfano wapi alikisa shipa..?
Hebu fafanua umeongea kwa kificho sana.Kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi mtendaji wa NMB na mkurugenzi mtendaji wa CRDB?
Siku tukifahamu kuwa tatizo linalotukwamisha ni namna viongozi wanavyopatikana tutakuwa tumepiga hatua.
Hivi ndio vizuri ili ukweli ujulikane.Kwenye kampuni yangu ndogo nimeshindwa kabsa kaajiri dada zetu kwa sababu ya udhuru kibao mara ujauzito, mara kitchen part ,mara sndoff , mara Leo tumbo linauma , kwa sisi nchi zinazoendelea tutachelewa sna katika kufanya maamuzi magumu , ilipaswa wanaume tusafishe njia kwanza ata hawa dada zetu wakishika hatamu wapite kwenye njia lain .