Ni sahihi wanawake kuwapa uongozi au tunajipiga mtama sisi wenyewe..??

Kuna tofauti gani kati ya Mkurugenzi mtendaji wa NMB na mkurugenzi mtendaji wa CRDB?

Siku tukifahamu kuwa tatizo linalotukwamisha ni namna viongozi wanavyopatikana tutakuwa tumepiga hatua.
Dadavua binti...
 
Uko sahihi kwa asilimia kubwa, mwanamme akipewa uongozi kiongozi halisi anakuwa ni mmewe au bwana/mpenzi/mchepuko wake
 
Kwenye kampuni yangu ndogo nimeshindwa kabsa kaajiri dada zetu kwa sababu ya udhuru kibao mara ujauzito, mara kitchen part ,mara sndoff , mara Leo tumbo linauma , kwa sisi nchi zinazoendelea tutachelewa sna katika kufanya maamuzi magumu , ilipaswa wanaume tusafishe njia kwanza ata hawa dada zetu wakishika hatamu wapite kwenye njia lain .
 
Ni kweli asee

Tatizo ukiwaambia hvo vitu hawataki kuamini kwakuwa wanahisi kama tunawadharau na lazma wapinge ili kutaka kuketa balance kwao,

Ila kiuhalisia mwanamke hastahili kupewa Uongozi
 
Mwendazake nae alikua anatumia hisia je unamlinganisha na huyu wa sasa??
Hapo vip??
 
Umo umoo mkuu waskulegeze ushindwe kushikilia bomba
 
Bro had dini zinazungumza alaf those fvcking honourables wanapindisha, SH!T
 
Kuomba omba kwa viongozi wa AFRIKA ndipo kumetufikisha hapa.

Utamaduni wetu umevurugwa na hii kitu wanasema USAWA WA KIJINSIA.. Mila na tamaduni za Afrika ni mwanamke hawezi kumwongoza mwanaume.
 
Kwa mtazamo wangu wanaweza, but tukiacha kuingiza vitu vya kike sana katika uongozi. Kuwe na mipaka ya kazi na tabia zetu za kike.
Kuna ile ndiyo kateuliwa hiyo nafasi, basi ndiyo mtanijua mimi ni nani hapa.

Tukiweza kutenganisha yale mambo ya kike, tukajikita katika kuongoza kwa usawa na haki. Tutakuwa na viongozi bora wanawake. Sisi wanawake tuna matatizo yetu, wengi huyapeleka mpaka sehemu ya kazi. Nina mifano...
 
Hivi ndio vizuri ili ukweli ujulikane.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…