Shujaa Nduna JF-Expert Member Joined Sep 8, 2022 Posts 599 Reaction score 487 May 2, 2023 #1 Kuna sheria au utaratibu unaotaka mtu anayedhaminiwa mahakamani kulipa hela ya fomu ya dhamana tena kwa watuhumiwa wote.? Huyo aliyesema mahakama ya mwanzo songea.
Kuna sheria au utaratibu unaotaka mtu anayedhaminiwa mahakamani kulipa hela ya fomu ya dhamana tena kwa watuhumiwa wote.? Huyo aliyesema mahakama ya mwanzo songea.