2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Katika nchi hii, watu wananen kati ya kumi sawa na (78%) wanajitambulisha kuwa Waorthodox.
Lakini uvamizi ulioongozwa na Vladimir Putin - ambaye, kwa bahati mbaya, ameharibu mamia ya makanisa kwa mashambulizi yake ya angani - ultikisa nguvu ya UOC-MP.
Hali ilikuwa tete baada ya mzalendo wa Moscow, Kirill, kulaani vitendo vya kijeshi. Badala yake, alibariki askari wa Urusi na, hadi sasa, hajatoa wito wa kusitishwa kwa mapigano.
Hii ni kwa sababu kauli hiyo ilitoka kwa mwakilishi mkuu wa Kanisa la Orthodox la Urusi ni mshirika wa zamani wa Putin. Uhusiano wao wa karibu ulimfanya Mnamo 2012, kusema kuwa serikali yaKR ilikuwa "muujiza wa Mungu
BBC Swahili ☝️
Hakika ni wakati muafaka dunia kujua wafuasi wa kweli wa Yesu