Ni sawa kwa mjamzito kunyimwa huduma za kuanza kliniki kisa hajaambata na mumewe?

Ni sawa kwa mjamzito kunyimwa huduma za kuanza kliniki kisa hajaambata na mumewe?

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526
Habari wanajukwaa,

Ni halali mjamzito kukosa huduma kisa hajaenda na mume wake?

Nilitaka kuweka clip nimeshindwa.

Mawazo yenu muhimu.
 
Mkono mtupu haulambwi..
Penyeza ka rupia.

Lkn ukitaka kufata utaratibu utatakiwa uje na barua ya mwenyekiti wa mtaa.

Tofaut na hapo nenda kaanze clinic kwenye private hosp. Wao wanaangalia noti
 
Ndio najua sasa nilitaka kujua kituo kipi wamemkatalia mtu mwenyewe haonyeshi ushirikiano
Inabidi akawashitaki. Mimi ni mmoja wa shuhuda.
Unatoa hela za matatibu tu na za kujiandikisha na gharama zingine wala hakuna kuhonga kwa daktari yoyote.
 
Back
Top Bottom