Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Nianze wapi kumnyosha?Sio halali.
Mama mjamzito anapaswa apate haki ya kuhudumiwa hata kama hajaenda klinik na mumewake
Taja jina la KITUO Cha afya ni wapi hao wanaotengeneza mazingira ya mauaji wamechoka kula ugali wa hiari wanataka kwenda kula Ugali wa jela?je ni sheria kunyimwa huduma kisa hajaenda na mumewe?
Taja jina la KITUO Cha afya usaidiweNianze wapi kumnyosha?
Hawezi kunyimwa huduma kisa hajaenda na mumewe.Sawa la la hela nk si hoja.hoja je ni sheria kunyimwa huduma kisa hajaenda na mumewe?
Mwambie ataje jina la KITUO Cha afyaHawezi kunyimwa huduma kisa hajaenda na mumewe.
Wakimnyima huduma aende kushitaki kwa mamlaka husika.
Nimeandika km mmoja wa shuhuda.
Kituo chochote mama mjamzito anahudumiwa bila kwenda na mumewe.Mwambie ataje jina la KITUO Cha afya
Ndio najua sasa nilitaka kujua kituo kipi wamemkatalia mtu mwenyewe haonyeshi ushirikianoKituo chochote mama mjamzito anahudumiwa bila kwenda na mumewe.
Nimeshuhudia yote hayo. Siyo lazima km yupo anaweza kwenda naye ila siyo lazima.
Niamini mimi
Inabidi akawashitaki. Mimi ni mmoja wa shuhuda.Ndio najua sasa nilitaka kujua kituo kipi wamemkatalia mtu mwenyewe haonyeshi ushirikiano
Zahanati ya mshangano iliyopo manispaa ya SONGEA.Mwambie ataje jina la KITUO Cha afya
Zahanati ya mshangano manispaa ya songeaInabidi akawashitaki. Mimi ni mmoja wa shuhuda.
Unatoa hela za matatibu tu na za kujiandikisha na gharama zingine wala hakuna kuhonga kwa daktari yoyote.
Noted✍Zahanati ya mshangano iliyopo manispaa ya SONGEA.
Zahanati ya mshangano manispaa ya songeaTaja jina la KITUO Cha afya usaidiwe