Kuna mahudhurio zaidi ya matatu,mume anaweze kuambatana na mkewe kwenye hudhurio lolote.Eti barua ya mwenyekiti wa mtaa,utaratibu huo umeanishwa wapi?Mkono mtupu haulambwi..
Penyeza ka rupia.
Lkn ukitaka kufata utaratibu utatakiwa uje na barua ya mwenyekiti wa mtaa.
Tofaut na hapo nenda kaanze clinic kwenye private hosp. Wao wanaangalia noti
Utaratibu wa barua?Kuna mahudhurio zaidi ya matatu,mume anaweze kuambatana na mkewe kwenye hudhurio lolote.Eti barua ya mwenyekiti wa mtaa,utaratibu huo umeanishwa wapi?
Mnapima baada ya kupeana mimba....mm nazan mpime beforeMnapimwa magonjwa ya zinaa nk. ili kumlinda/kumkinga mtoto.
Mleta mada aende kituoni, au kama yupo mbali aji commit aende hata hudhurio moja.
Vijana waache janja janja ili tupate kizazi bora chenye afya nchini kwa miaka ijayo.
Kwenda si tatizo.tatizo je ni halali kunyimwa huduma elewa hoja.Mnapimwa magonjwa ya zinaa nk. ili kumlinda/kumkinga mtoto.
Mleta mada aende kituoni, au kama yupo mbali aji commit aende hata hudhurio moja.
Vijana waache janja janja ili tupate kizazi bora chenye afya nchini kwa miaka ijayo.
Ni muhimu wote mume na mke kuhudhuria kliniki haswa kwa first visits kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya awali haswa blood grouping ya wote mume na mke ili kuangalia Rhesus factors zenu kama zina match kusudi kuu kukiokoa kiumbe kisife (Antibody & Antigen reaction ) , pia kwa ajili ya kupima virusi vya ukimwi ili kupewa counselling na huduma muhimu ili kumuondoa kwenye hatari ya mtoto naye kupata maambukizi (PMTCT).Habari wanajukwaa,
Ni halali mjamzito kukosa huduma kisa hajaenda na mume wake?
Nilitaka kuweka clip nimeshindwa.
Mawazo yenu muhimu.
Hiyo kwa manufaa ya huyo mtoto atakayezaliwa kinyume na hapo msishangae kila mimba anayobeba kuharibika mpaka muhisi amerogwaAlafu huu mtindo wa kuambatana na mke clinic as if wote mnaenda kupimwa mimba ufe kabsa...
Kutakuwa kuna shida. Siyo lazima mama mjamzito aende na mumewe.Zahanati ya mshangano manispaa ya songea
Si halali. Aende kwa mganga mkuu, akashitaki.Kwenda si
Kwenda si tatizo.tatizo je ni halali kunyimwa huduma elewa hoja.
Hakuna huo utaratibu,ni kutojua haki zenu tuUtaratibu wa barua?
Kwahiyo ni sahihi kutompa huduma mama mjamzito ikiwa hajaambatana na mume wake?Ni muhimu wote mume na mke kuhudhuria kliniki haswa kwa first visits kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya awali haswa blood grouping ya wote mume na mke ili kuangalia Rhesus factors zenu kama zina match kusudi kuu kukiokoa kiumbe kisife (Antibody & Antigen reaction ) , pia kwa ajili ya kupima virusi vya ukimwi ili kupewa counselling na huduma muhimu ili kumuondoa kwenye hatari ya mtoto naye kupata maambukizi (PMTCT).
Seems unapenda sana case,,, msisitizo ni kwenda kushitaki siyo? na siyo kuwaeleeza watoa huduma juu ya changamoto iliyomfanya asifike na mwanaume, So far hakuna ambaye atakataa kutoa huduma kwa sababu hiyo ndogo.Si halali. Aende kwa mganga mkuu, akashitaki.
Ni haki ya kila mama mjamzito kupata huduma ( Ni lazima wa siyo ombi).
Nimeona kwa zaidi ya wanawake wawili 2016 na 2023 mwezi wa 4, alienda bila mumewe na amepatiwa huduma kama kawaida.
Usilete siasa kwenye Matibabu .akanyooshe Maelezo ukileta lugha za ukakasi akapime kituo kingine Tanzania kubwa sana vituo ni vingiHabari wanajukwaa,
Ni halali mjamzito kukosa huduma kisa hajaenda na mume wake?
Nilitaka kuweka clip nimeshindwa.
Mawazo yenu muhimu.
Hii ndiyo sababu ya kunyimwa huduma?Ni muhimu wote mume na mke kuhudhuria kliniki haswa kwa first visits kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya awali haswa blood grouping ya wote mume na mke ili kuangalia Rhesus factors zenu kama zina match kusudi kuu kukiokoa kiumbe kisife (Antibody & Antigen reaction ) , pia kwa ajili ya kupima virusi vya ukimwi ili kupewa counselling na huduma muhimu ili kumuondoa kwenye hatari ya mtoto naye kupata maambukizi (PMTCT).
Akubaliana nawe.ila ikitokea kwa mambo ya nyuma wanaofanya visa kea mhudumiwa hapo ndiyo pamoto.Seems unapenda sana case,,, msisitizo ni kwenda kushitaki siyo? na siyo kuwaeleeza watoa huduma juu ya changamoto iliyomfanya asifike na mwanaume, So far hakuna ambaye atakataa kutoa huduma kwa sababu hiyo ndogo.
Effect za kushitaki watoa huduma zina cost yake "negligence" watakukalili next time watakufanyie kitu hutojua imekuaje .
Hawa watu ni kuongea nao tuu, hizo mbwembwe za kushtakia ziwe last resort kabisa