Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka
kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?
Mkuu potezea haya makitu na tuwekeze kuondoa CCM madarakani.Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka
kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?
Si hua mnasema tumshukuru Mungu kwa kila jambo? Sasa yeye anamshukuru Mungu kwa kumpa hivyo vitu tatizo liko wapi? Nani aliawalazimisha muangalie status yake?Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka
kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana watoto, n.k. hawa wamerukwa kwenye kubarikiwa ?