Ni sawa! Shake well b4 use?

hiyo ya kulazimisha "ushahidi" kabla ya ndoa ndio
maana watu wanapewa watoto si wao hala ghafla
wanaaza kulalamika "ooh tukampime kabebi dna".

 

ni makubaliano ya watu wote wawili kufanya hivyo.sijui kwa nini mnachukulia kuwa na ujauzito siku ya harusi au kabla ya harusi ni jambo la aibu especially kwa mwanamke?????mie nikikubali kuduuu mtu asinihoji mimba yangu siku ya harusi.nimefanya kwa hiari yangu sikulazimishwa LOL:redfaces:
 
This is intriguing...I definitely can see both sides of the argument. But then again, ain't love supposed to be unconditional? Maybe yes, maybe no. It just depends.
 
hahahaha!kazi ipo wacha niende utawa mie!
Kushake kupo lkn mpaka mtoke na ushahidi kanisani jamani!!!

UTAWA!!!!!!!!!!! Mimi hata sikuelewi anyway kuna kachumba kadogo hapa home unaweza kuja kuwa mtawa wife akisafiri itanoga zaidi
 
Maamuzi tu...kama wenyewe wamekubaliana wengine haiwahusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…