Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
- Thread starter
- #21
Hapo wanakokotwa wote hosp,,inakuwa kama wanamng'ong'a mchungaji,,lol
Maskini mchangaji wa kondooo hajui kama kondoo hawa walishapotea siku nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wanakokotwa wote hosp,,inakuwa kama wanamng'ong'a mchungaji,,lol
Habari JF
Siku za hv karibuni nimekuwa active member wa vikao vya harusi. Si unajua tena unapokuwa na vijana wa miaka 20 na kuendelea kuwekeza kwenye hii saccoss ni muhimu! Haya bana ndo hivyo!
Kilichonishangaza humu ni kila maarusi takribani 5 hv kwa mwaka huu woooooooote walikuwa tayari wako 3. Yaani Baba, Mama na Kichanga chao. Nilipodadisi nikaambiwa siku hizi ni SHAKE WELL BEFORE USE. Ikabidi nianze kutafuta maana halisi maana ningeuliza palepale wangeniona huyu wa LONG TIME nini! Kumbe jamaa siku hizi wanaangalia kaa mamsap anaouwezo wa kuijaza dunia. Je ni sawa hivyo?
hahahaha!kazi ipo wacha niende utawa mie!
Kushake kupo lkn mpaka mtoke na ushahidi kanisani jamani!!!