Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Yaani watu waache kutoa ngoma kisa mtu mwingine anaumwa we kia.zi kweli,kwani anumwa malaika?akikaa miaka mitano kitandani watu wasitoe ngoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uenda unasema pasipo uhakika, hakuna anayekataliwa kwenda na ukitaka kutoa chochote kitu wanapokea, namba zipo wazi mpaka Gmail yake.Kumjulia hali huenda wanaenda, kama inaruhusiwa…. hiyo sio lazima waposti.
Mkuu labda unashindwa kuelewa kwa sisi hadhira mziki ni starehe na viburudisho,lakini kwa wasanii ni kazi au ajira.Ni sawa we uache kufanya kazi ya kukuingizia kipato kisa mfanyakazi mwenzako anaumwa kalazwa.Hii imekaaje?
Hili ni swali ambalo mwanangu huyu mdogo kaniuliza, kwa muda nimekuwa nikimsimulia kuhusu HipHop na kumwaminisha kuwa ni muziki wa maisha halisi na mara nyingi huhimiza upendo.
Basi leo yamenishuka, sijui kaniotea vipi.
Ni hivi:
Kina AY na Fid Q tunaweza kusema ni kizazi kile cha Profesa Jei.
Wakati huu mwenzao yupo hoi kitandani kupigania afya yake, hawa wengine wote kwa pamoja wametoa 'Club Bangers'. Kwanza sio watu wa kutoa ngoma kila wakati, kwanini muda huu?
Na mbona isiwe nyimbo fulani za majonzi au faraja kwa lijendi mwenzao?
Dogo kaniacha na maswali mengi, binafsi imenistua.
Get well soon Jay, Mchawi wa rhymes Mti Mkavu.
Ulimwengu wa sasa umejaa ubinafsi pambania sana maisha yakoWatoe ngoma wasitoe, hatujasikia kwenda kumjulia Hali, karibia wasanii wote.
Mi sijapambana we umepambanaje au kubishana j farum?Ulimwengu wa sasa umejaa ubinafsi pambania sana maisha yako
Kwa hiyo?Mi sijapambana we umepambanaje au kubishana j farum?
Yes...maisha lazima yaendelee.Mkuu maisha mengine lazima yaendelee ndio mfumo
mwenzao yuko hoi,wao wanatumia pesa kuchapisha tshirt za no case to answer na valentine ya mbowe. na sio muda walichangisha watanzania pesa za matitabu, kumbe wanazo za kutengenezea tshirt za no case to answer.Hii imekaaje?
Hili ni swali ambalo mwanangu huyu mdogo kaniuliza, kwa muda nimekuwa nikimsimulia kuhusu HipHop na kumwaminisha kuwa ni muziki wa maisha halisi na mara nyingi huhimiza upendo.
Basi leo yamenishuka, sijui kaniotea vipi.
Ni hivi:
Kina AY na Fid Q tunaweza kusema ni kizazi kile cha Profesa Jei.
Wakati huu mwenzao yupo hoi kitandani kupigania afya yake, hawa wengine wote kwa pamoja wametoa 'Club Bangers'. Kwanza sio watu wa kutoa ngoma kila wakati, kwanini muda huu?
Na mbona isiwe nyimbo fulani za majonzi au faraja kwa lijendi mwenzao?
Dogo kaniacha na maswali mengi, binafsi imenistua.
Get well soon Jay, Mchawi wa rhymes Mti Mkavu.
ICU haiingii mtu ....kwenda wanaenda wanaishia kuonana na mkewe...Watoe ngoma wasitoe, hatujasikia kwenda kumjulia Hali, karibia wasanii wote.
Hivi Jay anaumwa nini, tumsaidie alternativelyHii imekaaje?
Hili ni swali ambalo mwanangu huyu mdogo kaniuliza, kwa muda nimekuwa nikimsimulia kuhusu HipHop na kumwaminisha kuwa ni muziki wa maisha halisi na mara nyingi huhimiza upendo.
Basi leo yamenishuka, sijui kaniotea vipi.
Ni hivi:
Kina AY na Fid Q tunaweza kusema ni kizazi kile cha Profesa Jei.
Wakati huu mwenzao yupo hoi kitandani kupigania afya yake, hawa wengine wote kwa pamoja wametoa 'Club Bangers'. Kwanza sio watu wa kutoa ngoma kila wakati, kwanini muda huu?
Na mbona isiwe nyimbo fulani za majonzi au faraja kwa lijendi mwenzao?
Dogo kaniacha na maswali mengi, binafsi imenistua.
Get well soon Jay, Mchawi wa rhymes Mti Mkavu.
Kama utaweza walipia bills , itakuapoa sana , wataacha kzi na kuanza tunga nyimbo za huzuni kwa mtu aliye haiHii imekaaje?
Hili ni swali ambalo mwanangu huyu mdogo kaniuliza, kwa muda nimekuwa nikimsimulia kuhusu HipHop na kumwaminisha kuwa ni muziki wa maisha halisi na mara nyingi huhimiza upendo.
Basi leo yamenishuka, sijui kaniotea vipi.
Ni hivi:
Kina AY na Fid Q tunaweza kusema ni kizazi kile cha Profesa Jei.
Wakati huu mwenzao yupo hoi kitandani kupigania afya yake, hawa wengine wote kwa pamoja wametoa 'Club Bangers'. Kwanza sio watu wa kutoa ngoma kila wakati, kwanini muda huu?
Na mbona isiwe nyimbo fulani za majonzi au faraja kwa lijendi mwenzao?
Dogo kaniacha na maswali mengi, binafsi imenistua.
Get well soon Jay, Mchawi wa rhymes Mti Mkavu.
Yaan ulitaka wakae na majonzi muda as if juna msiba? Kwaivo shughuli za utafutaji zisimame kisa mwana anaumwa, mbona mkewe alipata nguvu ya kuongea kwenye media yeye haukusema