Ni sawa Wasanii kutoa ngoma za "ku-party" wakati Profesa J yuko hoi Muhimbili?

Yaani watu waache kutoa ngoma kisa mtu mwingine anaumwa we kia.zi kweli,kwani anumwa malaika?akikaa miaka mitano kitandani watu wasitoe ngoma?
 
Ifikie wakati sio kila kitu kizimwe kutokana na mtu fulan kuumwa au kufariki maisha lazima yaendeleee
 
Kumjulia hali huenda wanaenda, kama inaruhusiwa…. hiyo sio lazima waposti.
Uenda unasema pasipo uhakika, hakuna anayekataliwa kwenda na ukitaka kutoa chochote kitu wanapokea, namba zipo wazi mpaka Gmail yake.
 
Mkuu labda unashindwa kuelewa kwa sisi hadhira mziki ni starehe na viburudisho,lakini kwa wasanii ni kazi au ajira.Ni sawa we uache kufanya kazi ya kukuingizia kipato kisa mfanyakazi mwenzako anaumwa kalazwa.
 
Nyi ndio watu wenyewe, watu tusinywe bia zetu kisa Magu kafa. Kwani tulikuwa tunagawana mishahara? Wabongo sijui ukuda mtaacha lini! Kila mtu na biashara zake, tusipangiane mingo
 
Yaan ulitaka wakae na majonzi muda as if juna msiba? Kwaivo shughuli za utafutaji zisimame kisa mwana anaumwa, mbona mkewe alipata nguvu ya kuongea kwenye media yeye haukusema
 
Serikali inamlipia matibabu ,acha wenzake nao watoe nyimbo wapate pesa za kuendeshea maisha yao
 
mwenzao yuko hoi,wao wanatumia pesa kuchapisha tshirt za no case to answer na valentine ya mbowe. na sio muda walichangisha watanzania pesa za matitabu, kumbe wanazo za kutengenezea tshirt za no case to answer.
 
Watoe ngoma wasitoe, hatujasikia kwenda kumjulia Hali, karibia wasanii wote.
ICU haiingii mtu ....kwenda wanaenda wanaishia kuonana na mkewe...
Au unataka mapicha picha....kifupi hamna show off muhi2 na hairuhusiwi
 
Hivi Jay anaumwa nini, tumsaidie alternatively
 
Kama utaweza walipia bills , itakuapoa sana , wataacha kzi na kuanza tunga nyimbo za huzuni kwa mtu aliye hai
 
Yaan ulitaka wakae na majonzi muda as if juna msiba? Kwaivo shughuli za utafutaji zisimame kisa mwana anaumwa, mbona mkewe alipata nguvu ya kuongea kwenye media yeye haukusema

Kuongea kwenye media ni kuomba msaada.

Shughuli za utafutaji ni muhimu ziendelee, ila kuna namna yenye inayofaa….. hata kwa nyimbo ni sawa ila sio hizi za ku-bang..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…