Una kipato gani kwa mwezi?wana ndugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu
hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu ni wapi nitaanzia maana mwanamke wangu saivi ana ujauzito hivyo nataka kumtoa kwao nianze kuishi nae
Pamoja na Sali international hospital.
Kwa kipato chako njoo KimaraWanandugu ninataka wa kuanzisha maisha nikiwa na familia yangu nikiwa na mke wangu na pamoja na mtoto wangu
Hivyo ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar kuanzisha maisha ambapo ninaweza kupanga vyumba viwili at affordable price na eneo nitakaloishi lisiwe la gharama hivyo naomba kufahamu ni wapi nitaanzia maana mwanamke wangu saivi ana ujauzito hivyo nataka kumtoa kwao nianze kuishi nae
Kimara pazuri hata mazingira ya kulelea mtoto ni mazuriKwa kipato chako njoo Kimara
Mwenye kipato cha Masaki hawezi kufungua thread kuulizia hilo angekuwa kwa brokers wa real estates mda huu!Unafanya kazi ,? Kama huna maisha ya kuunga unga basii masaki panakufaa
Goba panaweza kukufaa chumba na sebule unaweza pata kwa 80kningependa kufahamu bei ya nyumba na vyumba vya kupanga
na vipi kuhusu vyumba viwili bei gani nitapata
Kwa mwezi ni kama sh ngapi unaingizamaisha yangu ni ya kuunga unga
Kama hali mbaya unaweza pia tafuta maeneo ya bomba mbili au kwa diwani vyumba hadi 20000 unapatamaisha yangu ni ya kuunga unga
Manzese kama ana maisha ya kuunga ungaKama hali mbaya unaweza pia tafuta maeneo ya bomba mbili au kwa diwani vyumba hadi 20000 unapata
Sent using Jamii Forums mobile app