Ni sehemu gani inakuzwa mananasi, maembe, na machungwa, ambapo mtu anaweza jenga kiwanda cha juice

Ni sehemu gani inakuzwa mananasi, maembe, na machungwa, ambapo mtu anaweza jenga kiwanda cha juice

Soko: Too far to the markert labda kama kiwanda akiweke Kahama.
Lakini kanda ya ziwa na magharibi hakuna matunda mengi kama pwani na nyanda za juu kusini.
Mfano pwani kuna machungwa kigoma kuna vichungwa vya kukidhi kigoma tu wakati pwani inauza nchi nzima na nje ya nchi(evonomic of scale).
Kigoma na kagera zina parachichi ila haziwexi fikia uzalishaji wa mby,njmb na iringa hata kwa theluthi tu.

Soko: pwani ipo karibu na soko kigoma ni mwisho wa reli hivyo ni ghali kiuzalishaji.
Miundombinu: kigoma bado haijafunguka, haina umeme wa uhakika, maji nk.
Kigoma ina resource sawa ila inakwamishwa na mambo mengi.kama mtu sio mchumi atapeleka kiwanda kigoma vingivyo hawezi hata kama kuna kila zao.
Watu wa kigoma tutasubiri sana wachu.
Nakuelewa sana mkuu, Kasulu au Kigoma kuna fursa nyingi sana za matunda, na pia horticulture produce, na pia mimea kaa palm oil, problem ni kaa what you just said, infrastructure is nightmare, Kasulu iko na nafasi kubwa sana na fruits and vegetables haswa for export, but barabara ni taabu tu, untill they put infrast in place, bado ile sehemu itabaki nyuma sana.
 
Kama ukiwa Tayari tuwasiliane mimi ni mkulima mdogo wa Machungwa na yako tayari now, pia naweza kufanya connection na wakulima wenzangu wadogo wadogo tukakuuzia, niko muheza Tanga
 
Hili wazo
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu,Sasa nataka kuwekeza kiwada au viwada vya kutengeneza juices, toka mananasi.

Maembe na machunga na pia matunda mengine kaa passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili, hapa tz ni sehemu gani naweza pata kilimi cha hizo matunda, yaani kaa ni mananasi wapi wilaya gani nanasi zinapatikana kwa wingi, maembe hivyo hivyo,

Machungwa hivyo hivyo, hope munanielewa wakuu.na pia mimi naweza pia fanya kilimo cha hio matunda, yaani nalima na pia nakuwa na wakulima yaani wale tunaita outgrowers, nawapa begu na vitu kaa hizi wakiwa tayari hio matunda wananiuzia katika kamupuni yangu au kiwada changu, natanguliza shukrani kwenu.

Asanteni sana, huko nasubiri majibu.
Mkuu uwekezaji kwenye kiwanda umefanikiwa??
 
Kama ukiwa Tayari tuwasiliane mimi ni mkulima mdogo wa Machungwa na yako tayari now, pia naweza kufanya connection na wakulima wenzangu wadogo wadogo tukakuuzia, niko muheza Tanga
Poleni mkuu naona msimu huu valensia imegongwa na wadudu sio kawaida.
 
Natarajia mko salama wakuu na wanajamii forum. Niko na swali ambalo natarajia hapa ni pahari pazuri pa kupata jibu, sasa nataka kuwekeza kiwanda au viwanda vya kutengeneza juices, toka mananasi.

Maembe na machunga na pia matunda mengine kama passion fruits and mapapai, sasa swali langu ni hili, hapa Tanzania ni sehemu gani naweza pata kilimo cha hizo matunda, yaani kama ni mananasi wapi wilaya gani nanasi zinapatikana kwa wingi, maembe hivyo hivyo,

Machungwa hivyo hivyo, hope munanielewa wakuu na pia mimi naweza pia fanya kilimo cha hayo matunda, yaani nalima na pia nakuwa na wakulima yaani wale tunaita outgrowers, nawapa mbegu na vitu kama hizi wakiwa tayari hayo matunda wananiuzia katika kampuni yangu au kiwanda changu, natanguliza shukrani kwenu.

Asanteni sana, huko nasubiri majibu.
Kwa maembe na machungwa nenda ukerewe kawekeze hutojutia!! Na utakuwa chachu kwao kulima mananasi pia ila kuna kijiji kimoja kinalima mananasi hadi siyo poa
 
Back
Top Bottom