Ni sehemu gani inakuzwa mananasi, maembe, na machungwa, ambapo mtu anaweza jenga kiwanda cha juice

Nakuelewa sana mkuu, Kasulu au Kigoma kuna fursa nyingi sana za matunda, na pia horticulture produce, na pia mimea kaa palm oil, problem ni kaa what you just said, infrastructure is nightmare, Kasulu iko na nafasi kubwa sana na fruits and vegetables haswa for export, but barabara ni taabu tu, untill they put infrast in place, bado ile sehemu itabaki nyuma sana.
 
Kama ukiwa Tayari tuwasiliane mimi ni mkulima mdogo wa Machungwa na yako tayari now, pia naweza kufanya connection na wakulima wenzangu wadogo wadogo tukakuuzia, niko muheza Tanga
 
Hili wazo
Mkuu uwekezaji kwenye kiwanda umefanikiwa??
 
Kama ukiwa Tayari tuwasiliane mimi ni mkulima mdogo wa Machungwa na yako tayari now, pia naweza kufanya connection na wakulima wenzangu wadogo wadogo tukakuuzia, niko muheza Tanga
Poleni mkuu naona msimu huu valensia imegongwa na wadudu sio kawaida.
 
Kwa maembe na machungwa nenda ukerewe kawekeze hutojutia!! Na utakuwa chachu kwao kulima mananasi pia ila kuna kijiji kimoja kinalima mananasi hadi siyo poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…