ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
kwenye pochi yake 😁 😁 ...... au mpe akushikie lakini pia anza kuwalipa kwa kutumia mitandao ya simu itakufanya usitembeena cashANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Huyu mwamba apewe ulinzi, huku kikao cha dharura kikiitishwa rasmi Kwa ajili ya kumjengea sanamu yake pale Kimboka by NightUsihangaike na vitu vyako.
Cheza na ufunguo tu.
Hakikisha kuwa hajuani na watu wa guest husika. Mkiingia tu, funga mlango. Funguo usichomoe.
Taa pia usizime. Kula mzigo, wana tabia ya kujidai kuwahi kulala ili nawe ulale.
Jifanye unaenda kuzima taa kule ukutani hata kama ipo karibu na kitanda.
Ukizima taa, chomoa na ufunguo.
Kuwa makini, hajalala bali anakuchora tu.
Jifanye kushika shika mto ili ajue unauchomeka kwenye mto. Alafu nenda chooni au bafuni. Weka tu pembeni ya kidirisha cha chooni.
Nenda kalale! Atakuamsha usiku mwenyewe kuwa anataka kuondoka!.
Au chomeka ufunguo kwenye kipakiti cha kondom, tupia uvunguni.
UZINZI HAULIPI. ACHANA NA MAGUMEGUME.
Mkuu siku hizi unashindia wapi baada ya kutoka ndani ya safinawewe ni konki kwenye hiyo seksheni
Nipo nipo tu kama pu.mbu za mbuziMkuu siku hizi unashindia wapi baada ya kutoka ndani ya safina
Nzuri, Alhamdulillah namshukuru mwenye-ez-Mungu. Wajua nini mkuu, napenda sana siku moja nikutane na wewe kama hutajali, hakika wewe ndie mtu ninaevutiwa nae zaidi humu Jf.
Angaliazo: usinyonye chuchu utasinzia mpaka kesho jioni kisha atabeba kila kitu.ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Waleti inawekwa kwenye godoro chini akiitoa lazima akuamshe kwa kuinua godoro1.Kama kuna tv weka nyuma ya tv,
2.Weka kwenye Buti zako ukishazivua,
3.Kama una gari,iache pochi kwenye gari,
4.Siku ukijua unaenda "Gesti" chukua hela za matumizi hayo tu,usiibebe pochi.
Nimejaribu kuchangia tu japo mm sio mtu wa mambo ya kubanjuka hovyo.🤣🤣
Hii ban itakuwa inakuchoma moyo,,safi sana modsANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
DuhNipo nipo tu kama pu.mbu za mbuzi
Duuuuh ngumu kumeza.Izungushie nailoni nenda chooni funua lile dude linalohifadhi maji ya kuflashia tumbukiza humo. Hilo ni eneo salama hata kutunzia bastola kisu na.silaha nyingine kwa anili ya dharula.
Naomba nipite hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, ndivo mnavyoteseka?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu akijaalia tutaonana 🙏Nzuri, Alhamdulillah namshukuru mwenye-ez-Mungu. Wajua nini mkuu, napenda sana siku moja nikutane na wewe kama hutajali, hakika wewe ndie mtu ninaevutiwa nae zaidi humu Jf.
Nami nashukuru kwa kunijibu kibinaadam, siifikirii hiyo siku ila itakapofika nitaikumbuka. "Ubarikiwe bidada.Mungu akijaalia tutaonana 🙏
Asante sana kwa kunikubali