Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Pasua mto unaoulalia weka katikati kabisa kisha rudishia folonya ya mto huo. Hapa chukua room mapema na uwe umeshaanda mazingira hayo. Kingine toa pesa na vitu vyote vya thamani kwenye pochi vifunge kwenye ncha ya neti pochi iache mezani utakua umemuingiza mkenge.ANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Nisaidien kumtag Zero IQ ana majibu yoteANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Pia kitanda unahamishia mlangoni'Birds of the same feather flock together..'
Anyway, shughulika na ufunguo wa mlango tu, maana ni rahisi kuuficha, na bila huo hatoweza kusepa na mkwanja wako..
Kuna room milango iko automatic kwa nje tu wa ndani akitaka kutoka anatoka kirahisi ila sio wa kuingia .kuna kadi pia za sensorFunga mlango funguo weka chini ya godoro
Mbona kawaida tu inafanyika pote duniani au we wa wapiNajuta hata Kuanzisha Uzi huu ( Mada hii ) kwani najua nitazitesa sana Mbavu zangu kwa Kucheka kwa Majibu ya Watu ( Members ) ambao naanza Kuhisi ni Wadau ( Wabobezi ) wakubwa wa 'Kubai' Madanga ( Malaya ) Mjini hapa.
Kuna bwana mmoja alificha hivyohivyo nyama ya sink la choo chumba cha ghorofani upande wa barabarani kadirisha kako wazi asubuhi anasikia kelele kuchungulia watu wanagombania helaIzungushie nailoni nenda chooni funua lile dude linalohifadhi maji ya kuflashia tumbukiza humo. Hilo ni eneo salama hata kutunzia bastola kisu na.silaha nyingine kwa anili ya dharula.
Naomba nipite hivi
hapo acha kwa gariANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
Acha hapo receptionANGALIZO
Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.