mkadiriaji majenzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 260
- 569
Kule wasukuma wa mashuka wamejaa na kuna kilimo cha mpungaMadabadaba a.k.a Ganja Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro
Kijiji kiko ndani ndani hatarii-porini,nilikutana na wasukuma(wanaDress kama wamasai+fimbo) kibao_Ni mwendo wa kisukuma...
Kwa mara ya kwanza nilikosa kushuhudia pisi za kisukuma_kila mwanamke yuko na watoto wa kutosha!
Masagati hii ya Mlimba...Huku enjoy samaki na Mchele bei chee...Ila kule nasikia uchaw unauzwaMasagati
MASAGATI
MASAGATI.
AISEEEH NIKIRUDI KULE MNIITE MBWA NIMEKAA PALEEEEEEEEE
Unaweza hisi upo kuzimu...
Hakuna huduma muhimu kwa binadamu,watu wanakula nyama yoyote ilimradi inatoka damu,nyani,kima,ngedere, twende.....
Ngono inafanyika kama mazoezi ya viungo tu,inauzwa kama njugu,mpaka najiuliza kweli kuna UKIMWI duniani!
Hakuna barabara wala umeme wala maji salama...
Mvua ikinyesha hakuna kutoka wala kuingia
Nmecheka kwa sauti mkuuKala, wilaya ya nkasi mkoa wa rukwa, kule nahisi wakazi wake walifika baada ya mtumbwi waliokuwa wanasafiria kupata dhoruba ndio wakaanzisha makazi
Kufua mashuka kipengeleKule wasukuma wa mashuka wamejaa na kuna kilimo cha mpunga
Tena unauzwa kwa kiloMasagati hii ya Mlimba...Huku enjoy samaki na Mchele bei chee...Ila kule nasikia uchaw unauzwa
Dunia imejaa na hakuna sehemu nyingine za kuishi na huko huwatoi wenyewBungu wilaya ya Mvuha mkoa wa Morogoro ni milimani ,hakuna usafiri, barabara ni shida daaaaah! Wale watu wanaishi maisha ya taabu kweli kweli
Basi vinafanana kingine kinaitwa hivohivo Ng'apa ukitoka Mikumi kabla hujafika Iyovi watu wako wanaishi milimani porini.Ng'apa, Lindi!
Hata sisi tunakushangaa kututajia majina ya vijiji kana kwamba woote humu ni wenyeji wa huko. Ungetaja angalau wilaya na mkoa (au nchi) tungekuelewa na kuchangia. Pia hujaweka pichaHabari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya
Mfano, Mimi niliwahi kutembelea Kijiji cha Baranga kata ya Sirorisimba kupitia Kyagata. Nilistajabu na kujiuliza Hawa watu huku wanaishije?
Ukame ndio kwao, maji shida, Hali ya hewa mbovu, jua kali ndio kwao, vurugu Sasa ndio chimbuko lake. Siku moja tulikuwa na mechi ya kirafiki na timu ya Kijiji jirani ile tupo kwenye gari tukashangaa tunaanza kurushiwa mawe barabarani.
Kwa kuwa sisi tulikuwa wageni tuliogopa sana lakini wenyeji wakatuambia msiogope hao wote tutakutana kwenye mnada. Siku nyingine tulikuwa Mnadani Sirorisimba siku hiyo kulikuwa na mgogoro wa mpaka wa shamba kati ya ukoo na ukoo huku polisi wakiwa na mitutu ya bunduki lakini ilivyo ajabu watu wa kule nilishudia wakibebana na kuhamasishana wabebe mishale waende wakaanzishe vurugu.
Wewe ulipita wapi na ulistaajabu nini?
Masange ..huko kondoa irangi..ma.maeHabari za muda huu wana JF,

Vijijii vyote vya mkoa wa kigomaHabari za muda huu wana JF,

Kuna kijiji ukiwa unaenda Loliondo ukitoka Oldonyo Rengai kuna kijiji hapo karibu na Lake Natron huwa sielewi hao jamaa walifuata nini hapo?Habari za muda huu wana JF,
Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya
Mfano, Mimi niliwahi kutembelea Kijiji cha Baranga kata ya Sirorisimba kupitia Kyagata. Nilistajabu na kujiuliza Hawa watu huku wanaishije?
Ukame ndio kwao, maji shida, Hali ya hewa mbovu, jua kali ndio kwao, vurugu Sasa ndio chimbuko lake. Siku moja tulikuwa na mechi ya kirafiki na timu ya Kijiji jirani ile tupo kwenye gari tukashangaa tunaanza kurushiwa mawe barabarani.
Kwa kuwa sisi tulikuwa wageni tuliogopa sana lakini wenyeji wakatuambia msiogope hao wote tutakutana kwenye mnada. Siku nyingine tulikuwa Mnadani Sirorisimba siku hiyo kulikuwa na mgogoro wa mpaka wa shamba kati ya ukoo na ukoo huku polisi wakiwa na mitutu ya bunduki lakini ilivyo ajabu watu wa kule nilishudia wakibebana na kuhamasishana wabebe mishale waende wakaanzishe vurugu.
Wewe ulipita wapi na ulistaajabu nini?
Hapa mkuu Ni Butiama mkoani MaraVijijii vyote vya mkoa wa kigoma
Pole mkuu Ni makosa ya kiuandishi, unajua unapoandika anahisi kila mtu amefika hiyo sehemu. Ni sawa na aliyeshiba hamuoni mwenye njaa, Ila Ni Wilaya ya Butiama, mkoa wa Mara.Hata sisi tunakushangaa kututajia majina ya vijiji kana kwamba woote humu ni wenyeji wa huko. Ungetaja angalau wilaya na mkoa (au nchi) tungekuelewa na kuchangia. Pia hujaweka picha
Inashangaza Sana kwamba walikosa maeneo au na sehemu nyingine Ni Kawetere njia ya kwenda Chunya Mbeya, Kuna Baridi Kali na ni mlimani Hadi nyumba tu wamejengea mbao na mabanzi kupunguza Baridi. Lakini wanakomaa palepale miaka.Kuna kijiji ukiwa unaenda Loliondo ukitoka Oldonyo Rengai kuna kijiji hapo karibu na Lake Natron huwa sielewi hao jamaa walifuata nini hapo?
Kutoka Mahenge mjini kwenda Mzelezi au Ruaha distance ya kilometers 30 nauli elf 50 kwa pikipiki masaa mawili ,wakati Toka mahenge Hadi Dar kwa bus masaa kumi na mbili nauli elf 35.
Hatari sanaDodoma ni hatari ,kuna vijiji vinapatikana shortcut (mpwapwa to Iringa road)
Imagine hadi wakiona gari wanakimbia,ilibidi tushuke kwanza tuwauulize maswali ya hapa na pale kuhusu maji,chakula maana Hamna mazao kabisa na vumbi linatimka muda wote ,Vitoto vimebuka hatari unahisi hata wakipiga maji hawatakati,kiswahili pia shida