Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Barabara ya kwenda Kilimanjaro nahisi ni wilaya ya Same Kuna nyumba moja nzuri tu imejengwa kwenye mlima kabisa ipo juu kileleni ipo peke yake ukipita barabarani kwa gari unaiona vzr tu...yule jamaa sijui alifikiria nini kujenga kule juu
Ukipata time naomba utuwekee picha, kama unazo.
 
WANYANCHALI vs WANYANCHOKA.
 
Haa Tanzania Ina Mambo
 
Miaka ya Tisini,,,Ngudulugulu huko Ngudu😂😂😂😂 mengine busara inaniambia ninyamaze
 
Kwangu ni Bukoba na Kigoma aisee.
 
100%
Unaweza kushangaa
 
🤣🤣🤣
 
Huko katikati ukipita hydomu ukiwa unaenda Arusha Kuna vijiji ni vyaajabu aisee Bado kule watu wanatembea maziwa njenje wanachofunika wao ni pap*ch* tu, nilishangaa sana, mtu anabeba kuni mgongoni, maji anabeba mgongoni mpaka nikajiuliza raisi wetu huyu huyu aliepo daslam ndo anaongoza na Hawa watu kweli?
 
Pahi,Saralee,Mauno,Bumbuta.. Kondoa hiyo aisee watu wa kule wana dhiki mno sijui kwanini wanang'ang'ana kukaa sehemu kame na ya hovyo kame ile.
Ila kumbuka wana pisi kali balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…