TypingError
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 293
- 313
Mang'aliza-Mpwapwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WhitefieldHiyo dawa imenitoka jina. Ilikuwa inatusaidia sana Wagalanosi.
Tatizo ni hayo majokaaa....🐍🐍🐍Tabora - Tanzania tena wanaweza kukupa buree kabisa.
Yako wapi ? Kuna watu wanaishi huko nguruwe wanafugwa kama mbuzi huko wanajichunga wenyewe.Tatizo ni hayo majokaaa....🐍🐍🐍
Ni wilaya gani kiongozi....ni sikonge, urambo, uyui, nzega, kaliua, igunga au ni wapi hukoYako wapi ? Kuna watu wanaishi huko nguruwe wanafugwa kama mbuzi huko wanajichunga wenyewe.
Gereza lipo kilosa unapoelekea mlimbaSidhani kama ni huko. Gereza nadhani lipo wilaya ya Kilombero sio Kilosa.
Huko shida ni barabara na simu tu na umemeIsaula....mgololo mufindi nilishindwa aisee.....
Jamaaa ana uelewe mdogo sana anahisi watu wametembea NCHI nzimaUwe unataja Kijiji, kata , wilaya , na mkoa ili watu waelewe unazungumzia eneo gani , sasa kyagata ndio nini na ndio wapi?
Songea ni mbali ajali sasa huko kwingine si ndo kabisaKijiji kinaitwa Magwamila kiko Nambendo Wilaya ya Songea ndani ndani uko, wale wayao 95% wote ni watu wa Msumbiji ni mbali kishenzi
Pahi ni 🙌🏾Pahi,Saralee,Mauno,Bumbuta.. Kondoa hiyo aisee watu wa kule wana dhiki mno sijui kwanini wanang'ang'ana kukaa sehemu kame na ya hovyo kame ile.
Tabora manispaa kama km 80 kutoka town.Ni wilaya gani kiongozi....ni sikonge, urambo, uyui, nzega, kaliua, igunga au ni wapi huko
Daaaaah mbona uhakika sema ndo ivooo unaeza letewa singombingo kwamba eneo ni la mradi......kama ni manispa master plan ya mji muhimu.Tabora manispaa kama km 80 kutoka town.
Serikali swala la kufundisha lugha ya taifa wanazembea sana.Dodoma ni hatari ,kuna vijiji vinapatikana shortcut (mpwapwa to Iringa road)
Imagine hadi wakiona gari wanakimbia,ilibidi tushuke kwanza tuwauulize maswali ya hapa na pale kuhusu maji,chakula maana Hamna mazao kabisa na vumbi linatimka muda wote ,watoto wamebabuka hatari unahisi hata wakipiga maji hawatakati,kiswahili pia shida
Kigoma kuna check point nyingi sana, wengine wenye muonekano wa ukanda flan ni mateso sana hukokibondo kigoma yani, ilikua mwaka 2015 , kwanza kufika uko ni barrier za maana tulikutana nazo barabarani adi nikajiuliza ivi uku ni Tanzania au nchi nyingine.
n hi kubwa sana hii. wengi tunapita huku mabarabarani tu kwenye lami hatuingii huko ndanindani. kuna maeneo ya ajabu sana.
Dar saa 12 asubuhi jua kali kashinda la saa sita mchana donNilifika mara moja nikiwa na project moja hivi. Jua linaanza kuwa kali saa 3 asubuhi mpaka saa 11 na nusu ukali ule ule yani.
Maji tu kupatikana ni shughuli, hivyo vijiji tu vilivyozunguka wilaya ni kama wapi sijui.
Dualis ni gari ya kuongelea?We nae ndio umekosa cha kusema.mpanda watu wanaendesha dualis na harier watu wana hela za madin na ndege ipo dar. Mpanda labda ulifika ya karne ya 12.ila sio mpanda hii mzee