Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
309
Habari wakuu?
Naomba kujuzwa kuwa ni sehemu ipi Nairobi Kenya wanakoishi/wanakofanya biashara Watanzania wengi?

Kama ukitaja na majina ya labda maduka/hoteli/baa/Club zinazomilikiwa na watanzania itasaidia pia.
Natanguliza shukurani

download.jpeg
 
Habari wakuu?
Naomba kujuzwa kuwa ni sehemu ipi Nairobi Kenya wanakoishi/wanakofanya biashara Watanzania wengi?

Kama ukitaja na majina ya labda maduka/hoteli/baa/Club zinazomilikiwa na watanzania itasaidia pia.
Natanguliza shukuraniView attachment 2257211
Wanapoishi kwa wingi si rahisi kupajua ila najua sehemu ambayo wengi wapo na wanafanya shughuli zao, hasa za kuuza mitumba kwenye soko maarufu la mitumba la Gikomba mjini Nairobi ila shida karibu asilimia kubwa huwezi kuwajua kama Watanzania kwani ni Wachaga wanaoongea lugha ya Kikuyu utadhani wamezaliwa Nanyuki.
 
Sikikujibu weye mie nimeijibu JF ambayo mie ni mwana chama hai! halali...na sijavunja sheria!! ...ukiona vepe achia ngazi kuingia ingia humu JF!!......... hizi nazo ni dalili kubwa,.....
Okay
 
Back
Top Bottom