Ni sehemu ipi NAIROBI wanaishi watanzania wengi?

Wanapoishi kwa wingi si rahisi kupajua ila najua sehemu ambayo wengi wapo na wanafanya shughuli zao, hasa za kuuza mitumba kwenye soko maarufu la mitumba la Gikomba mjini Nairobi ila shida karibu asilimia kubwa huwezi kuwajua kama Watanzania kwani ni Wachaga wanaoongea lugha ya Kikuyu utadhani wamezaliwa Nanyuki.
 
Sikikujibu weye mie nimeijibu JF ambayo mie ni mwana chama hai! halali...na sijavunja sheria!! ...ukiona vepe achia ngazi kuingia ingia humu JF!!......... hizi nazo ni dalili kubwa,.....
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…