Ni Sekta zipi katika Soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Habari za leo wakuu,

Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.

Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala wanunuaji. Soko linaji-control lenyewe. Halafu pia soko hilo linakua halina monopolism.

Monopolism ni mfumo wa soko unaokua na muuzaji mmoja tu, na anakua anauza bidhaa ya moja ambayo haiuzwi na mwingine yeyote kwenye soko. Katika soko la monopoly, muuzaji hakabiliwi na ushindani wowote, kwani ndiye muuzaji pekee wa bidhaa isiyo na mbadala hapo sokoni.

Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

Dondosha jibu lako hapa chini.

Note: Markets are usually good way to organize economic activities.
 
Swali lako ungeuliza kinyume; ni sekta zipi zina perfect competetion? Hizi ni chache hivyo ni rahisi kuzi-mention kuliko ambazo hazina which are uncountable.
Nazitaka ambazo hazina
 
Habari za leo wakuu,

Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.

Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala wanunuaji. Soko linaji-control lenyewe. Halafu pia soko hilo linakua halina monopolism.

Monopolism ni mfumo wa soko unaokua na muuzaji mmoja tu, na anakua anauza bidhaa ya moja ambayo haiuzwi na mwingine yeyote kwenye soko. Katika soko la monopoly, muuzaji hakabiliwi na ushindani wowote, kwani ndiye muuzaji pekee wa bidhaa isiyo na mbadala hapo sokoni.

Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

Dondosha jibu lako hapa chini.

Note: Markets are usually good way to organize economic activities.
Uwanifu, hard work hizi sector competition yake ni ndogo sana. Jaribu hizo utafanikiwa
 
Sector zote zina perfect competition, tofauti inakuja katika market controls

Market prices kwa baadhi ya bidhaa zinakua controlled na Wauzaji wenyewe mfano Bei ya saruji mwishoni mwa mwaka 2020, Bei ya Sukari mwaka 2017 nadhani yan muuzaji ana bei yake ambayo kwa hali yoyote ile Mteja atakubaliana nayo tu

Kingine ni Market prices ambazo zinakua controlled na forces of demand and supply kwa mfano competition kwenye soko la vinywaji inapelekea constant supply ambapo bei ya vinywaji na yenyew inakua constant au inakua na tofauti ndogo sana sokoni

Ndo maana bidhaa inayozalishwa na Kampuni mbili tofauti, bei yake inakua reasonable sana tofauti na bidhaa inayozalishwa na kampuni moja (monopoly)
 
Habari za leo wakuu,

Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.

Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala wanunuaji. Soko linaji-control lenyewe. Halafu pia soko hilo linakua halina monopolism.

Monopolism ni mfumo wa soko unaokua na muuzaji mmoja tu, na anakua anauza bidhaa ya moja ambayo haiuzwi na mwingine yeyote kwenye soko. Katika soko la monopoly, muuzaji hakabiliwi na ushindani wowote, kwani ndiye muuzaji pekee wa bidhaa isiyo na mbadala hapo sokoni.

Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

Dondosha jibu lako hapa chini.

Note: Markets are usually good way to organize economic activities.
Wewe uliyesoma uchumi hujui halafu unakuja kutuuliza sisi laymen ukiwa unategemea kuwa sisi tunajua? Mtu yeyote aliyesoma uchumi hatakiwi kabisa kuuliza swali la namna hii hata kwa watu ambao ni professional wenzake
 
Habari za leo wakuu,

Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.

Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala wanunuaji. Soko linaji-control lenyewe. Halafu pia soko hilo linakua halina monopolism.

Monopolism ni mfumo wa soko unaokua na muuzaji mmoja tu, na anakua anauza bidhaa ya moja ambayo haiuzwi na mwingine yeyote kwenye soko. Katika soko la monopoly, muuzaji hakabiliwi na ushindani wowote, kwani ndiye muuzaji pekee wa bidhaa isiyo na mbadala hapo sokoni.

Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

Dondosha jibu lako hapa chini.

Note: Markets are usually good way to organize economic activities.
Cocacola na Pepsi hawana ushindani ndani na nje ya nchi.
 
All realistic markets operates under imperfect competition, this is due to the fact that perfect competition is just a theoretical kind of a market.
So kwa swali lako, sekta zote nchini hazina perfect competition (kapitie features za perfect competitive market)
 
Ziko aina nyingi za markets kama monopolistic, perfect competition, oligopolistic, etc. Ukisema mifano ya market "isiyo perfect competition" maana yake unaondoa perfect competition zinazobaki zote ndio majibu yako.

Biashara ya huduma za simu, real estate, kuuza vinywaji baridi na maji, usafirishaji sio perfect competition.

Perfect competition ni kama haipo. Labda kwa case ndogo ambazo sio large scale kujulikana kwa uwazi. Mfano kuuza nyanya ni perfect competition, hakuna watu wanakaa wanasema jamani nyanya sasa tuuze tenga 15,000. Ni kwamba nyanya zinauzika bei mfanano na hakuna mtu anapanga hiyo bei (bei elekezi). Ukiuza sado 3500 wakati linauzwa 2500 kwa sasa utazila mwenyewe, serikali haitakwambia punguza bei. Vilevile ukiuza sado 1500 wakati ni 2500 utaishiwa stock utoke kwenye market wengine waendelee. Hivo utajikuta unabalance palepale 2500 bila kuitwa wala kujadili na mwenzio. Na wauza nyanya ni wengi sana, ukigoma wewe hakuna atakayejua. Pia kuna entry na exit rahisi sana.

Oligopolistic ni kama mitandao ya simu, kampuni za ndege kina Boeing, Airbus, Sukhoi, etc. Hawa huwa wachache ila ushindana sana na kuigana na kufuatana kila wanachofanya. Leo hii Tigo wakileta ofa ya Jaza Ujazwe kesho Halotel wanaleta sijui Weka Uwekwe. Boeing akija na ndege ya kutumia umeme, utaona ghafla na Airbus wanaanza design wakati hawwajawahi iota. Hawa mmoja akigoma anaathiri uchumi imagine Voda kafunga mitambo. Uku hakuna kiherehere, wanakuja wenye hela tu na mara nyingi hawafungi biashara kizembe.

Aina zilizobaki zinajieleza
 
Sector zote zina perfect competition, tofauti inakuja katika market controls

Market prices kwa baadhi ya bidhaa zinakua controlled na Wauzaji wenyewe mfano Bei ya saruji mwishoni mwa mwaka 2020, Bei ya Sukari mwaka 2017 nadhani yan muuzaji ana bei yake ambayo kwa hali yoyote ile Mteja atakubaliana nayo tu

Kingine ni Market prices ambazo zinakua controlled na forces of demand and supply kwa mfano competition kwenye soko la vinywaji inapelekea constant supply ambapo bei ya vinywaji na yenyew inakua constant au inakua na tofauti ndogo sana sokoni

Ndo maana bidhaa inayozalishwa na Kampuni mbili tofauti, bei yake inakua reasonable sana tofauti na bidhaa inayozalishwa na kampuni moja (monopoly)
... labda wauza karanga na ndizi mbivu mitaani japo nao kama wana-collude flani hivi maana bei zao ni sawa as if wameambiana. Ni kama mabucha, bei ikipanda wote wanapandisha wanakuwa na bei moja mtaani.

Otherwise, biashara nyingine zote hususan zinazoagizwa nje hata kama haionekani kwa uwazi monopoly ipo; usually unakuta importers (authorized) ni wachache au mmoja anaagiza in bulk na kuwauzia whole sellers wa ndani.

Hawa ma-importers wakubwa wanacheza na bei wanavyotaka na ndio wanaoamua bei ya soko iweje. Rejea mifano ya sukari, mafuta ya kula, mafuta ya petroli, na hata saruji.
 
Perfect competition is just theoretical. So to make things short, bidhaa zote hazina perfect competition.
 
utengenezaji wabia, hakuna bilionea yeyote wa kibongo anafanya hii ishu wawekezaje wote wakubwa wametoka nje na makampuni ya kutengeneza bia ni machache sana
 
Kweli uzi wetu umekua mtamu sana, nashukuruni sana kwa changiaji wote mnaoendelea kuchangia point zenye madini namna hii.
 
... labda wauza karanga na ndizi mbivu mitaani japo nao kama wana-collude flani hivi maana bei zao ni sawa as if wameambiana. Ni kama mabucha, bei ikipanda wote wanapandisha wanakuwa na bei moja mtaani.

Otherwise, biashara nyingine zote hususan zinazoagizwa nje hata kama haionekani kwa uwazi monopoly ipo; usually unakuta importers (authorized) ni wachache au mmoja anaagiza in bulk na kuwauzia whole sellers wa ndani.

Hawa ma-importers wakubwa wanacheza na bei wanavyotaka na ndio wanaoamua bei ya soko iweje. Rejea mifano ya sukari, mafuta ya kula, mafuta ya petroli, na hata saruji.
Ahsante sana kwa michango mizuri na ya kujenga namna hii.
 
utengenezaji wabia, hakuna bilionea yeyote wa kibongo anafanya hii ishu wawekezaje wote wakubwa wametoka nje na makampuni ya kutengeneza bia ni machache sana
Ahsante sana kwa michango mizuri na ya kujenga namna hii. Uzi wetu unazidi kumelelemeta
 
Ziko aina nyingi za markets kama monopolistic, perfect competition, oligopolistic, etc. Ukisema mifano ya market "isiyo perfect competition" maana yake unaondoa perfect competition zinazobaki zote ndio majibu yako.

Biashara ya huduma za simu, real estate, kuuza vinywaji baridi na maji, usafirishaji sio perfect competition.

Perfect competition ni kama haipo. Labda kwa case ndogo ambazo sio large scale kujulikana kwa uwazi. Mfano kuuza nyanya ni perfect competition, hakuna watu wanakaa wanasema jamani nyanya sasa tuuze tenga 15,000. Ni kwamba nyanya zinauzika bei mfanano na hakuna mtu anapanga hiyo bei (bei elekezi). Ukiuza sado 3500 wakati linauzwa 2500 kwa sasa utazila mwenyewe, serikali haitakwambia punguza bei. Vilevile ukiuza sado 1500 wakati ni 2500 utaishiwa stock utoke kwenye market wengine waendelee. Hivo utajikuta unabalance palepale 2500 bila kuitwa wala kujadili na mwenzio. Na wauza nyanya ni wengi sana, ukigoma wewe hakuna atakayejua. Pia kuna entry na exit rahisi sana.

Oligopolistic ni kama mitandao ya simu, kampuni za ndege kina Boeing, Airbus, Sukhoi, etc. Hawa huwa wachache ila ushindana sana na kuigana na kufuatana kila wanachofanya. Leo hii Tigo wakileta ofa ya Jaza Ujazwe kesho Halotel wanaleta sijui Weka Uwekwe. Boeing akija na ndege ya kutumia umeme, utaona ghafla na Airbus wanaanza design wakati hawwajawahi iota. Hawa mmoja akigoma anaathiri uchumi imagine Voda kafunga mitambo. Uku hakuna kiherehere, wanakuja wenye hela tu na mara nyingi hawafungi biashara kizembe.

Aina zilizobaki zinajieleza
Ahsante sana kwa michango mizuri na ya kujenga namna hii. Uzi wetu unazidi kumeremeta
 
Back
Top Bottom