Ni Sekta zipi katika Soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

Ahsante sana kwa michango mizuri na ya kujenga namna hii. Uzi wetu unazidi kumeremeta
 
Ahsante sana kwa michango mizuri na ya kujenga namna hii. Uzi wetu unazidi kumeremeta
 
bei kupanda au kushuka doesn’t mean wanaambiana, it depends on demand and supply of a particular product in the market, Watu, makampuni binafsi yanayoongeza au kupunguza bei ya bidhaa hovyo ndo wale wanaosakwa na serikali kwa sababu wanasababisha kuyumba kwa uchumi wa nchi kwa namba fulani ndo maan wengi hufuata bei elekezi zinazopangwa na mamlaka
 
Nachukia sana TANESCO kumonopolise soko ,ilitakiwa kuwe na mbadala wa TANESCO ndio maana hawa attend fault kwa wakati ,hawatatui matatizo ya wateja kwa wakati.

Wadau tukomae ili tupate mbadala wa TANESCO ,zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini DSM sehemu kubwa tu hakuna UMEME na huo umeme uliowekwa VIJIJINI ni wananchi ndio wamechanga hela kwa kupittia REA na sio serikali....Tungepata Muwekezaji mwingine apewe kazi ya kusambaza umeme sehemu ambazo haujafika ingekuwa safi sana!!

Tanesco hawaweki huduma sehemu ambayo bado haina makazi ya watu wengi,hapo ndipo kosa linalofanyika ,Tanesco inabidi muweke miundombinu yenu sehemu zote zenye njia kuu au sehemu kwenye mipango miji na makazi ya watu kwahiyo ikitokea mtu anataka umeme inakuwa rahisi kumuunganishia.
 
Tanesco ipo siku yake, Natamani sana wangekua wanaiga kinachofanywa na HTT kwenye sekta ya mawasiliano Tanzania, they’re the best na wako very strict kuhakikisha customer wao wanakua well satisfied na huduma

Ni mara chache sana kutakua na malalamiko.
 

TANESCO wa Outsource kazi za field maintanance(Ku attend fault) kuwategemea wafanyakazi wao ambao hawafanyi kazi kwa KPI ndio matatizo yanapoongezeka ,waki_outsource kazi ina maana hiyo kampuni itapewa SLA na wakienda nje ya SLA wanalimwa penati hivyo performance itaongezeka! Tanesco call centre hawana PBX yaani unapiga namba direct kama inatumika ndio mpaka usubiri mtu amalize kuongea ndio upokelewe wewe!

Tupate kampuni za kuipa challenge TANESCO katika kusambaza umeme naona kwasasa kazi imewashinda!!
 
Kwa taarifa yako ni kwamba hakuna kitu kinachoitwa perfect competition market.Hiyo ni dhana tu ambayo hutumika katika assumptions lakini kwenye real world and real life huwa haipo.Pitia tena zile assumptions za perfect competition market ndipo utagundua ya kwamba ni kitu ambacho hakipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…