Ni Sera za Serikali ya CCM ndizo zimewajaza Wachina Tanzania wanaoiba Ajira za Wazawa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Serikali ya CCM kama zilivyo Serikali mbalimbali za Kiafrika zinazopokea misaada ya wachina , Shariti Kuu wanalopewa ni Hilo 'Kuruhusu Raia wa kichina watamalaki bila vikwazo ' .

Ongezeko Hilo la utegemezi Kwa Wachina, Kuna uwezekano wa 100% Uchina kua na Uwezo wa kuamua Chama gani kiendelee kutawala Tanzania.

Mifano ni mingi... Nyie simmeona Ma Yutong ya CCM na Jeshi, mawashawasha ya Polisi Tanzania.
 
Kwenye biashara nyingi za Wachina, ccm anakuwa ndo mbia namba 1
 
Back
Top Bottom